Fatwa Ya Al’imam Al’Mahdi Kuhusu Mimba Ya Al’sidiqa Maryam*
Sehemu ya kwanza

-6-
الإمام ناصر محمد اليماني
23 - 04 - 1429 هـ
29 - 04 - 2008 مـ
07:49 مساءً
https://alyamani.me/showthread.php?p=5821
ـــــــــــــــ

?Imamu wangu mpendwa, Nini kisa cha Mimba Ya Maryam kwa Nabi Wa Allah Isa Mwana wa Maryam

Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Swala Na Salam Juu Ya Ma Nabi Na Mitume Wote Na Ali zao Walio Wema Walio Tahirika Na Juu Ya Wote Walio Fwata Haki Mpaka Siku Ya Dini, Na Bada Hapo..
Na Ewe Ambae Unae Uliza ( Firdawus) Al’Mukarama, Juu yako kwamba ujuwe kua nidhamu ya kubeba mimba Ya Al’sidiqa Maryam Kwa Mtoto Wake Mtume Wa Allah Al’Masi7h Isa Juu Yake Swala Na Salam Hakuifanya Allah Kwa Miyezi tisa Kama Mfano Wa Baki Ya Wanawake Wa Ulimwengu; Bali ni kwa neno kutoka Kwa Allah (Kun fayakun) Kuwa na Linakua Ba’ada Alipo mweleza Roho Ya Al’Quds Jibril Juu Yake Swala Na Salam na wale Walioko na Yeye Katika Malaika na Wakambashiri kwa neno kutoka kwa Allah kuwa na kinakua Almasi7h Isa Mwana Wa Maryam Mwenye Hishima Duniani na Akhera Na Katika Walio Kurubishwa Kwa Allah Na Anazungumza Na Watu Kwenye Uchanga Wake Na Utuzima Wake ni Katika Watu Wema Na Ba’Ada Walipo Mbashiria Malaika Kwa Ulimi Wa Jibril, Akasema Allh Ta3ala:

{إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِنْهُ اسمه الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ (45)وَيُكَلِّمُ النَّاسَ فِي الْمَهْدِ وَكَهْلًا وَمِنَ الصَّالِحِينَ (46)قَالَتْ رَبِّ أَنَّىٰ يَكُونُ لِي وَلَدٌ وَلَمْ يَمْسَسْنِي بَشَرٌ قَالَ كَذَٰلِكِ اللَّهُ يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ إِذَا قَضَىٰ أَمْرًا فَإِنَّمَا يَقُولُ لَهُ كُنْ فَيَكُونُ(47)} صدق الله العظيم [آل عمران].

Allah Ta3ala Asema:{ Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu) (45) Naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utuuzima wake, na atakuwa katika watu wema (46) Maryamu akasema: Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa (57)} Sadaqa Allah Al3adhim[Alimran].
Lakini Maryam Hakuona ila Malaika Moja Na Yeye Ndio Alio Jitokeza Mbele yake Mtu Wa kisawa sawa, Na Wala Hakuona Malaika wengine waliokua na yeye; Bali Amemona Jibril peke Mbele ya macho yake, Na Pindi Walipo Mbashiri Malaika kwa ulimi wa jibril alikua Maryam yuko Karibu Na Familiya yake, Laikini Ameweka Pazia pasi na wao Na Bada Ya Watu Akasema Maryam Juu Yake Al’Salam:

{قَالَتْ رَبِّ أَنَّىٰ يَكُونُ لِي وَلَدٌ وَلَمْ يَمْسَسْنِي بَشَرٌ قَالَ كَذَٰلِكِ اللَّهُ يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ إِذَا قَضَىٰ أَمْرًا فَإِنَّمَا يَقُولُ لَهُ كُنْ فَيَكُونُ} صدق الله العظيم [آل عمران:47].
Allaha Ta3ala Asema:{ Maryamu akasema: Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa} Sadaqa Allah Al3adhim[Alimran].

Na Alafu mara akangalia Tumbo lake tayari limefura kwa neno kutoka kwa Allah kuwa likawa, Akajua kwamba atamza siku hio hio akaondoka kutoka pale pahala mashariki karibu na Familia yake kwenda pahala pa mbali, Napo hapo pahali hivo hivo Mashariki mwa Familia Yake Lakini pahala mbali zaidi kutokana na pahala pa kwanza alio fany Pazia pasi na wao.

Ba’ada kubeba mimba akajitenga nae pahala mbali mpaka alipo fika kwa mtende ikamjia uchungu wa kuza akamza Al’Masi7h Isa Mwana Wa Maryam Juu Yake Na Mamake Swala Na Salam, Akamsikia Analia Akajua Kwamba Ameza Mtoto, Na kitu Cha kwanza kimemjia kwa akili yake nini atasema kwa kaumu yake mana watamtuhumu kwa uongo na ubaya na uzushi na wala hawatomwamini kwamba amebeba mimba kwa neno kutoka kwa Allah kun fayakun kuwa na likawa, Kwajili ya hivo alisema laiti nigekufa kabla kunifikia haya nikawa nimesahaulika kabisa, Alaf akamwita mtoto wake kutoka (chini yake) Al’Masi7h Isa mwana wa Maryam Akamwambia yeye, Usihuzunike Amefanya Mola Wako Mlezi Chini Yako kijicho cha maji kidogo, Akangalia baina migu yake ndio akaona ni mtoto wake ndio anae zungumza nae akimtuliza kumpa matumaini na akamwambia yeye kwamba autingishe shina la mtende utangusha Kwake tende zilio mzuri zilio’iva, Na kula na kunwa na utulie jicho, Na kadhalika alimwambia yeye: Kwamba yeye ndio atakae zungumza na watu na juu yake asizungunze na wao kwa sababu hawatomwamini; Bali yeye ndio atakae kuzungumza kwa haki.

Mpaka Alipo fila kwa kaumu yake amimbeba wakasema ewe Maryam hakika umeleta kitu ajabo! Wakamtuhumu kwa zina alfu akamweka mbele yao kwenye uwanja na hakuzungumza na wao kama vile alivo musia mtoto wake kwamba yeye ndio atakae kuzungumza na wao kwajili ya hivo akaonesha ishara kwake! Wakasema: Vipi Tutazungumza Na Ambae Yuko Uwanjani ni mchanga? Alafu akazungumza juu yake Swala Na Salam, Akasema Allah Ta3ala:

{فَأَشَارَتْ إِلَيْهِ قَالُوا كَيْفَ نُكَلِّمُ مَن كَانَ فِي الْمَهْدِ صَبِيّاً (29) قَالَ إِنِّي عَبْدُ اللَّهِ آتَانِيَ الْكِتَابَ وَجَعَلَنِي نَبِيّاً (30) وَجَعَلَنِي مُبَارَكاً أَيْنَ مَا كُنتُ وَأَوْصَانِي بِالصَّلَاةِ وَالزَّكَاةِ مَا دُمْتُ حَيّاً (31)} [مريم]

Allah Ta3ala Asema:{ Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye uwanjani bado mdogo yumo katika mlezi (29)Akasema Mimi Ni Mja Wa Allah Amenipa Kitabu akanifanya ni Nabi (30) Akanifanya Nimebarikiwa popote nilipo akaniusia Swala Na Zaka Madamu niko hai(31)} Sadaqa Allah Al3adhim[Maryam].

Allah Ta3ala Asema:
{وَاذْكُرْ فِي الْكِتَابِ مَرْيَمَ إِذِ انتَبَذَتْ مِنْ أَهْلِهَا مَكَانًا شَرْقِيًّا ﴿١٦﴾فَاتَّخَذَتْ مِن دُونِهِمْ حِجَابًا فَأَرْسَلْنَا إِلَيْهَا رُوحَنَا فَتَمَثَّلَ لَهَا بَشَرًا سَوِيًّا ﴿١٧﴾ قَالَتْ إِنِّي أَعُوذُ بِالرَّحْمَـٰنِ مِنكَ إِن كُنتَ تَقِيًّا ﴿١٨﴾قَالَ إِنَّمَا أَنَا رَسُولُ رَبِّكِ لِأَهَبَ لَكِ غُلَامًا زَكِيًّا ﴿١٩﴾ قَالَتْ أَنَّىٰ يَكُونُ لِي غُلَامٌ وَلَمْ يَمْسَسْنِي بَشَرٌ وَلَمْ أَكُ بَغِيًّا ﴿٢٠﴾ قَالَ كَذَٰلِكِ قَالَ رَبُّكِ هُوَ عَلَيَّ هَيِّنٌ وَلِنَجْعَلَهُ آيَةً لِّلنَّاسِ وَرَحْمَةً مِّنَّا وَكَانَ أَمْرًا مَّقْضِيًّا ﴿٢١﴾فَحَمَلَتْهُ فَانتَبَذَتْ بِهِ مَكَانًا قَصِيًّا ﴿٢٢﴾فَأَجَاءَهَا الْمَخَاضُ إِلَىٰ جِذْعِ النَّخْلَةِ قَالَتْ يَا لَيْتَنِي مِتُّ قَبْلَ هَـٰذَا وَكُنتُ نَسْيًا مَّنسِيًّا ﴿٢٣﴾ فَنَادَاهَا مِن تَحْتِهَا أَلَّا تَحْزَنِي قَدْ جَعَلَ رَبُّكِ تَحْتَكِ سَرِيًّا ﴿٢٤﴾ وَهُزِّي إِلَيْكِ بِجِذْعِ النَّخْلَةِ تُسَاقِطْ عَلَيْكِ رُطَبًا جَنِيًّا ﴿٢٥﴾فَكُلِي وَاشْرَبِي وَقَرِّي عَيْنًا فَإِمَّا تَرَيِنَّ مِنَ الْبَشَرِ أَحَدًا فَقُولِي إِنِّي نَذَرْتُ لِلرَّحْمَـٰنِ صَوْمًا فَلَنْ أُكَلِّمَ الْيَوْمَ إِنسِيًّا ﴿٢٦﴾ فَأَتَتْ بِهِ قَوْمَهَا تَحْمِلُهُ قَالُوا يَا مَرْيَمُ لَقَدْ جِئْتِ شَيْئًا فَرِيًّا ﴿٢٧﴾ يَا أُخْتَ هَارُونَ مَا كَانَ أَبُوكِ امْرَأَ سَوْءٍ وَمَا كَانَتْ أُمُّكِ بَغِيًّا ﴿٢٨﴾ فَأَشَارَتْ إِلَيْهِ قَالُوا كَيْفَ نُكَلِّمُ مَن كَانَ فِي الْمَهْدِ صَبِيًّا ﴿٢٩﴾ قَالَ إِنِّي عَبْدُ اللَّـهِ آتَانِيَ الْكِتَابَ وَجَعَلَنِي نَبِيًّا ﴿٣٠﴾ وَجَعَلَنِي مُبَارَكًا أَيْنَ مَا كُنتُ وَأَوْصَانِي بِالصَّلَاةِ وَالزَّكَاةِ مَا دُمْتُ حَيًّا ﴿٣١﴾ وَبَرًّا بِوَالِدَتِي وَلَمْ يَجْعَلْنِي جَبَّارًا شَقِيًّا ﴿٣٢﴾ وَالسَّلَامُ عَلَيَّ يَوْمَ وُلِدتُّ وَيَوْمَ أَمُوتُ وَيَوْمَ أُبْعَثُ حَيًّا ﴿٣٣﴾ ذَٰلِكَ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ قَوْلَ الْحَقِّ الَّذِي فِيهِ يَمْتَرُونَ ﴿٣٤﴾ مَا كَانَ لِلَّـهِ أَن يَتَّخِذَ مِن وَلَدٍ سُبْحَانَهُ إِذَا قَضَىٰ أَمْرًا فَإِنَّمَا يَقُولُ لَهُ كُن فَيَكُونُ ﴿٣٥﴾ وَإِنَّ اللَّـهَ رَبِّي وَرَبُّكُمْ فَاعْبُدُوهُ هَـٰذَا صِرَاطٌ مُّسْتَقِيمٌ ﴿٣٦﴾ فَاخْتَلَفَ الْأَحْزَابُ مِن بَيْنِهِمْ فَوَيْلٌ لِّلَّذِينَ كَفَرُوا مِن مَّشْهَدِ يَوْمٍ عَظِيمٍ ﴿٣٧﴾} صدق الله العظيم [مريم].

Allah Ta3ala Asema{Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki (16) Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu (17) (Maryamu) akasema: Hakika mimi najikinga kwa Mwingi wa Rehema aniepushe nawe, ukiwa ni mchamngu.(18) Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako Mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliye takasika (19) Akasema: Nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba (20) Malaika) akasema: Ndio hivyo hivyo! Mola wako Mlezi amesema: Haya ni mepesi kwangu! Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na Rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo lilio kwisha hukumiwa (21) Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali (22) Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa(23) Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji (24) Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu (25) Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu (26) Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu(27) Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba (28) Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi (29) Akasema Mimi Ni Mja Wa Allah Amenipa Kitabu akanifanya ni Nabi (30) Akanifanya Nimebarikiwa popote nilipo akaniusia Swala Na Zaka Madamu niko hai(31) Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu (32) Na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa, na siku nitakayo kufa, na siku nitakayo fufuliwa kuwa hai (33) Huyo ndiye Isa mwana wa Maryamu. Ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka (34) Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu, Yeye ametakasika! Anapo lihukumia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa (35) Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mola wangu Mlezi, na Mola wenu Mlezi. Basi muabuduni Yeye. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka (36) Lakini makundi yakakhitalifiana wao kwa wao. Basi ole wao hao walio kufuru kwa kuhudhuria Siku iliyo kuu (37)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Maryam].

Kwahivo Imebainika Kwenu Pindi Mukipeleleza Kitabu Cha Allah Al’quran Al3adhim Kwamba Maryam Juu Yake Swala Na Salam ilikua Mimba Yake Kwa (Kun Fayakun) Kuwa na Kinakua, Na Haikua Ni Tone Alafu likachanganyika alafu pande alafu mifupa alafu tukavalisha mifupa nyama, Na Hivo ingekuwa ameolewa, Lakini hajamgusa Mtu wala hajawa kahaba; Bali Amesema Allah (Kun Fakan) Kuwa Na Likawa Al’Masi7h Isa Mwana Wa Maryam Na likafura Tumbo lake kwajili ya hivo akaenda nae kando kutoka pahala mashariki kutoka kwa watu wake kwenda pahala zaidi mbali kuliko pale pahala alipokua mwanzo alafu ikamjia uchungu wa kuza kufika kwenye mtende akaza katika siku hio hio, Kwajili ya hivo ewe unae uliza Firdwos; hwakuona familia yake mimba yake na yeye yuko kwa tumbo lake na hivo ni kwajili amibeba mimba akaza kwenye siku hio hio, Na Familia yake wangekua wanaweza kumsadiki hata kama hakuzungumza Al’Masi7h Isa mwana wa Maryam Juu yake Swala Na Salam, Na Hivo kwajili Familia yake wajua hana mimba na wala hawakuona mimba yake Basi hapana budi awe ni mkweli, Lakini tatizo ni kwa kaumu yake basi wao hawatomsadiki wala hawatosadiki familia yake kwamba aliko hana mimba, Kwajili ya hivo amekuja nae upande wa kaumu yake amembeba wala hakulekea kwa familia yake; Bali kwa kaumu yake na hivo ni kwajili ambaraishe yeye na familia yake ambayo yeye ni sharafa yao na hivo hivo ili Awambie kwamba yeye ni Mtume wa Allah Kwao Na Amemfanya ni Nabi, Na Ishakidhiwa Jambo ambalo ulikua unataka upewe fatwa juu yake Ewe Firdwus Al’Mukarama.

Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Al’Insan Nasser Muhammad Al’Yamani Yule Ambae Amemfundisha Mola Mlezi Wake Al’Bayan.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
الإنسان ناصر محمد اليمانيّ الذي علَّمه ربّه البيان.
____________________________

اقتباس المشاركة 5821 من موضوع فتوى الإمام المهديّ عن حمل الصِّدّيقة مريم عليها السلام..

- 6 -
الإمام ناصر محمد اليماني
23 - ربيع الثاني - 1429 هـ
29 - 04 - 2008 مـ
07:49 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
ـــــــــــــــ

إمامي الحبيب، ما هي قصة حمل مريم بنبيّ الله عيسى ابن مريم ؟

بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على جميع الأنبياء والمرسلين وآلهم الطّيّبين الطاهرين وعلى التابعين للحقّ إلى يوم الدين، وبعد..
ويا أيتها السائِلة (فِردوس) المُكَرّمة، عليك أن تعلمي بأنّ نظام حمل الصديقة مريم بابنها رسول الله المسيح عيسى عليه الصلاة والسلام لم يجعله الله في تسعة أشهرٍ كمثل نساء العالمين؛ بل كان بكلمة من الله كُن فيكون بعد أن أخبرها روح القدس جبريل عليه الصلاة والسلام ومن معه من الملائكة وبشّروها بكلمة من الله كن فيكون المسيح عيسى ابن مريم وجيهاً في الدنيا وفي الآخرة ومن المقرّبين ويكلم الناس في المهد ومن الصالحين وبعد أن بشّرها الملائكة بلسان جبريل. وقال الله تعالى:
{إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِنْهُ اسمه الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ (45)وَيُكَلِّمُ النَّاسَ فِي الْمَهْدِ وَكَهْلًا وَمِنَ الصَّالِحِينَ (46)قَالَتْ رَبِّ أَنَّىٰ يَكُونُ لِي وَلَدٌ وَلَمْ يَمْسَسْنِي بَشَرٌ قَالَ كَذَٰلِكِ اللَّهُ يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ إِذَا قَضَىٰ أَمْرًا فَإِنَّمَا يَقُولُ لَهُ كُنْ فَيَكُونُ(47)} صدق الله العظيم [آل عمران].

ولكنّ مريم لم تشاهد غير ملَكٍ واحد وهو الذي تمثّل لها بشراً سوياً، ولم ترَ الملائكة الذين كانوا معه؛ بل رأت جبريل فقط أمام عينيها، وحين بشّرها الملائكة بلسان جبريل كانت مريم على مقربةٍ من أهلها، وإنّما اتخذت من دونهم حجاباً ومن بعد البشرى قالت مريم عليها السلام:
{قَالَتْ رَبِّ أَنَّىٰ يَكُونُ لِي وَلَدٌ وَلَمْ يَمْسَسْنِي بَشَرٌ قَالَ كَذَٰلِكِ اللَّهُ يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ إِذَا قَضَىٰ أَمْرًا فَإِنَّمَا يَقُولُ لَهُ كُنْ فَيَكُونُ} صدق الله العظيم [آل عمران:47].

ومن ثم نظرت إلى بطنها فإذا هي حاملٌ وقد انتفخ بطنها بكلمة من الله كن فيكون، فعلمت أنّها سوف تضعه في نفس اليوم فانتبذت من المكان الشرقي القريب من أهلها إلى مكان قصيٍّ، وهو كذلك شرقي أهلها ولكنّه مكانٌ أبعد مسافةً من المكان الأول والذي جعلت فيه من دونهم حجاباً.

فبعد الحمل انتبذت به مكاناً قصيّاً حتى إذا وصلت إلى جذع النخلة جاءها المخاض وهي الولادة فولدت المسيح عيسى ابن مريم عليه وعلى أمّة الصلاة والسلام، فسمعته يبكي فعلمت بأنّها وضعت مولوداً، وأول ما جال بخاطرها ماذا تقول لقومها فسوف يتّهمونها بالزور والبُهتان والافتراء ولن يصدِّقوها بأنّها حملت بكلمة من الله كن فيكون، لذلك قالت يا ليتني متُّ قبل هذا وكنت نسياً منسيّاً، ومن ثم ناداها ابنها (من تحتها) المسيح عيسى ابن مريم وقال لها: لا تحزني قد جعل ربك تحتك سرياً، فنظرت إلى بين رجليها فإذا بطفلها هو من يكلمها ويطمئنها ويقول لها أن تهزّ إليها بجذع النخلة تُساقط عليها رطباً جنياً، وكلي واشربي وقَرّي عينا، وكذلك قال لها: بأنّه من سوف يكلم الناس وعليها أن لا تكلمهم فهم لن يصدقوها؛ بل هو من سوف يكلمهم بالحقّ.

حتى إذا أتت قومها تحمله قالوا يا مريم قد جئتِ شيئاً فريّاً! فاتّهموها بالزنى ومن ثم وضعته بين أيديهم بالمهد فلم تكلمهم كما أوصاها ابنها بأنّه هو من سوف يكلمهم ولذلك أشارت إليه! قالوا: كيف نُكلم من كان في المهد صبيّاً؟ ومن ثم تكلم عليه الصلاة والسلام. وقال الله تعالى:
{فَأَشَارَتْ إِلَيْهِ قَالُوا كَيْفَ نُكَلِّمُ مَن كَانَ فِي الْمَهْدِ صَبِيّاً (29) قَالَ إِنِّي عَبْدُ اللَّهِ آتَانِيَ الْكِتَابَ وَجَعَلَنِي نَبِيّاً (30) وَجَعَلَنِي مُبَارَكاً أَيْنَ مَا كُنتُ وَأَوْصَانِي بِالصَّلَاةِ وَالزَّكَاةِ مَا دُمْتُ حَيّاً (31)} [مريم]

قال الله تعالى:
{وَاذْكُرْ فِي الْكِتَابِ مَرْيَمَ إِذِ انتَبَذَتْ مِنْ أَهْلِهَا مَكَانًا شَرْقِيًّا ﴿١٦﴾فَاتَّخَذَتْ مِن دُونِهِمْ حِجَابًا فَأَرْسَلْنَا إِلَيْهَا رُوحَنَا فَتَمَثَّلَ لَهَا بَشَرًا سَوِيًّا ﴿١٧﴾ قَالَتْ إِنِّي أَعُوذُ بِالرَّحْمَـٰنِ مِنكَ إِن كُنتَ تَقِيًّا ﴿١٨﴾قَالَ إِنَّمَا أَنَا رَسُولُ رَبِّكِ لِأَهَبَ لَكِ غُلَامًا زَكِيًّا ﴿١٩﴾ قَالَتْ أَنَّىٰ يَكُونُ لِي غُلَامٌ وَلَمْ يَمْسَسْنِي بَشَرٌ وَلَمْ أَكُ بَغِيًّا ﴿٢٠﴾ قَالَ كَذَٰلِكِ قَالَ رَبُّكِ هُوَ عَلَيَّ هَيِّنٌ وَلِنَجْعَلَهُ آيَةً لِّلنَّاسِ وَرَحْمَةً مِّنَّا وَكَانَ أَمْرًا مَّقْضِيًّا ﴿٢١﴾فَحَمَلَتْهُ فَانتَبَذَتْ بِهِ مَكَانًا قَصِيًّا ﴿٢٢﴾فَأَجَاءَهَا الْمَخَاضُ إِلَىٰ جِذْعِ النَّخْلَةِ قَالَتْ يَا لَيْتَنِي مِتُّ قَبْلَ هَـٰذَا وَكُنتُ نَسْيًا مَّنسِيًّا ﴿٢٣﴾ فَنَادَاهَا مِن تَحْتِهَا أَلَّا تَحْزَنِي قَدْ جَعَلَ رَبُّكِ تَحْتَكِ سَرِيًّا ﴿٢٤﴾ وَهُزِّي إِلَيْكِ بِجِذْعِ النَّخْلَةِ تُسَاقِطْ عَلَيْكِ رُطَبًا جَنِيًّا ﴿٢٥﴾فَكُلِي وَاشْرَبِي وَقَرِّي عَيْنًا فَإِمَّا تَرَيِنَّ مِنَ الْبَشَرِ أَحَدًا فَقُولِي إِنِّي نَذَرْتُ لِلرَّحْمَـٰنِ صَوْمًا فَلَنْ أُكَلِّمَ الْيَوْمَ إِنسِيًّا ﴿٢٦﴾ فَأَتَتْ بِهِ قَوْمَهَا تَحْمِلُهُ قَالُوا يَا مَرْيَمُ لَقَدْ جِئْتِ شَيْئًا فَرِيًّا ﴿٢٧﴾ يَا أُخْتَ هَارُونَ مَا كَانَ أَبُوكِ امْرَأَ سَوْءٍ وَمَا كَانَتْ أُمُّكِ بَغِيًّا ﴿٢٨﴾ فَأَشَارَتْ إِلَيْهِ قَالُوا كَيْفَ نُكَلِّمُ مَن كَانَ فِي الْمَهْدِ صَبِيًّا ﴿٢٩﴾ قَالَ إِنِّي عَبْدُ اللَّـهِ آتَانِيَ الْكِتَابَ وَجَعَلَنِي نَبِيًّا ﴿٣٠﴾ وَجَعَلَنِي مُبَارَكًا أَيْنَ مَا كُنتُ وَأَوْصَانِي بِالصَّلَاةِ وَالزَّكَاةِ مَا دُمْتُ حَيًّا ﴿٣١﴾ وَبَرًّا بِوَالِدَتِي وَلَمْ يَجْعَلْنِي جَبَّارًا شَقِيًّا ﴿٣٢﴾ وَالسَّلَامُ عَلَيَّ يَوْمَ وُلِدتُّ وَيَوْمَ أَمُوتُ وَيَوْمَ أُبْعَثُ حَيًّا ﴿٣٣﴾ ذَٰلِكَ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ قَوْلَ الْحَقِّ الَّذِي فِيهِ يَمْتَرُونَ ﴿٣٤﴾ مَا كَانَ لِلَّـهِ أَن يَتَّخِذَ مِن وَلَدٍ سُبْحَانَهُ إِذَا قَضَىٰ أَمْرًا فَإِنَّمَا يَقُولُ لَهُ كُن فَيَكُونُ ﴿٣٥﴾ وَإِنَّ اللَّـهَ رَبِّي وَرَبُّكُمْ فَاعْبُدُوهُ هَـٰذَا صِرَاطٌ مُّسْتَقِيمٌ ﴿٣٦﴾ فَاخْتَلَفَ الْأَحْزَابُ مِن بَيْنِهِمْ فَوَيْلٌ لِّلَّذِينَ كَفَرُوا مِن مَّشْهَدِ يَوْمٍ عَظِيمٍ ﴿٣٧﴾} صدق الله العظيم [مريم].

إذاً قد تبيّن لكم إذا تدبرتم كتاب الله القرآن العظيم بأنّ مريم عليها الصلاة والسلام كان حملها بكن فيكون، ولم يكن نطفةً ثم أمشاجاً ثم مضغةً ثم عظاماً ثم كسونا العظام لحماً، فذلك لو كانت متزوجة، ولكن لم يمسَسْها بشر ولم تَكُ بغياً؛ بل قال الله كن فكان المسيح عيسى ابن مريم وانتفخ بطنها ولذلك انتبذت به من المكان الشرقي من أهلها إلى مكانٍ أبعد وأقصى من المكان الأول ومن ثم جاءها المخاض إلى جذع النخلة فولدت في نفس اليوم، ولذلك يا أيّتها السائلة فردوس؛ لم يرَ أهلُها حملَها وهو في بطنها وذلك لأنّها حملت ووضعت في نفس اليوم، وأهلها كانوا بالإمكان أن يصدقوها ولو لم يتكلم المسيح عيسى ابن مريم عليه الصلاة والسلام، وذلك لأنّ أهلها يعلمون بأنّها ليست حاملاً ولم يشاهدوا حملها فلا بدّ أن تكون صادقة، ولكنّ المشكلة في قومها فهم لن يصدقوها ولن يصدقوا أهلها بأنّها لم تكن حاملاً، ولذلك أتت به قومها تحمله ولم تتّجه به صوب أهلها؛ بل إلى قومها وذلك لكي يُبرِّئها وأهلها التي هي عرضُهم وكذلك يخبر قومها من بني إسرائيل أنّه رسول الله إليهم وجعله نبيّاً، وقضي الأمر الذي فيه تستفتين يا فردوس المكرمة.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
الإنسان ناصر محمد اليمانيّ الذي علَّمه ربّه البيان.
___________

اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..