( ردود الإمام على أبي عبد الله الباحث عن الحقّ )
(Majibu Ya Al'imam Juu Ya Abi Abd'Allah Mtafiti WA Haki)
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
- 1 -
الإمام ناصر محمد اليماني
02 - 07 - 1429 هـ
06 - 07 - 2008 مـ
08:23 مساءً
ـــــــــــــــــــــ
أفتيك في مصر أنها أرض مُباركة خصبة طيبة للشجر والثمر
وما دمت طالب علم فقد اخترت لنفسك درجة رفيعة المستوى عند مليك مُقتدر
ومرحباً بأبي عبد الله الباحث عن الحقّ..
Nakupa Fatwa Kuhusu Misri Hakika Ni Ardhi Yenye Baraka Rutuba Mzuri Kwa mimea Na Mitende
Na Madamu Wewe Ni Mtafutaji WA ilimu Basi Umechaguwa Nafsi Yako daraja Kiwango Cha Juu Kwa Mwenye Kumiliki anauwezo Na Marahaba Kwa Abi Abd'Adllah Mtafiti Wa Haki..
Bismi'Allah Al'Rahmn Al'Rahim, Na Sala Na Salam Juu Ya Khatim WA Ma'Nabi Na Mitume Na Alihi Walio Wema Waliotwahirika Na Juu Ya Wanao Fwata Haki Kawenye Kila Zama Na Pahali Mpaka Siku Ya Dini Alafu Ama Ba'Ada Ya Hapo..
Hi Jibu Kutoka Kwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Nimiandika Mwenyewe Kwa Nafsi Yangu Kwa Mtafiti WA Haki Ndugu Yangu Katika Dini Ya Allah (Abu Abd'Allah), Salam Za Allah Juu Yako Warahmatu Allahi WA Barakatuhu Ndugu Mkarimu, Asalam Juu Yako Na Juu Ya Wote Waja WA Allah Wema Katika Wa'Mwanzo Na Wamwisho Na Katika Wakazi WA Juu Siku Ya Dini..
Na Ewe Ndugu Yangu Abu Abd'Allah Mtafiti WA Haki Kwa Ujuzi Na Utawala Uno Kinaisha,Na Madamu Wewe Ni Mwenye Kutafuta ujuzi Basi Umeamua Kuchgulia Nafsi Yako Daraja Ya Kiwengo Cha Juu Mbele Ya Malikin Muqtadaren Na Hivo Ni Kwajili Ya Mwenye Kutafuta Ilimu Allah Anamfanya Taa Kwa Watu Wake Ba'Ada Kurudi Kutoka Safari Yake Ya Kutafuta ilimu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {وَمَا كَانَ الْمُؤْمِنُونَ لِيَنفِرُواْ كَآفَّةً فَلَوْلاَ نَفَرَ مِن كُلِّ فِرْقَةٍ مِّنْهُمْ طَآئِفَةٌ لِّيَتَفَقَّهُواْ فِي الدِّينِ وَلِيُنذِرُواْ قَوْمَهُمْ إِذَا رَجَعُواْ إِلَيْهِمْ لَعَلَّهُمْ يَحْذَرُونَ} صدق الله العظيم [التوبه:122].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Haikuwa Kwa Waumini Watoke Wote Basi Lau Kama Si Watu Katika Kila Kundi Kati Yao Poti Wasome Dini Alafu Waonye Watu Wao Wakirudi Kwao Huwenda Wakajihadhari} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba:122].
Lakini Wewe Ukichukuwa Ilimu Kutoka Wale Ambao Wanasema Juu Ya Allah Wasio Kijuwa Kwa Dhana Ambae Haisaidi Kutoka Kwa Haki Kitu Basi Utawazidishia Kaumu Yako Upotevu Na Utabeba Dhambi Yao Na Dhambi Lako, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {لِيَحْمِلُوا أَوْزَارَهُمْ كَامِلَةً يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَمِنْ أَوْزَارِ الَّذِينَ يُضِلُّونَهُم بِغَيْرِ عِلْمٍ أَلَا سَاءَ مَا يَزِرُونَ} صدق الله العظيم [النحل:25].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Wabebe Madhambi Yao Kamili Siku Ya Kiyama Na Madhambi Ya wale Walio Wapoteza Bila Kujuwa Eee Mabaya Zaidi Madhambi Wanao Yabeba} Sadaqa Allah Al3adhim:[Alnaml:25].
Na Hivo Ni Kwajili Kuteleza Kwa Mwanachuoni Itakuwa Ni Sababu Ya Kuteleza Ulimwengu Wote, Na Amem'Sharitisha Allha Kwa Mwenye Kutafuta ilimu Masharti Nazo Kuwa Yeye Wakati Anasikiza Kwenye ilimu ili Ajifunze Basi Juu Yake Atumie Masikio Yake Na Macho Yake Na Moyo Wake Basi Afikirie Katika Ushuhuda Burhan Ya ilimu Ambao Anasikizishwa Kwenye Masikio Yake, Na Nini Hio Burhan Na Utawala Ya Uhakika WA Hi Ilmu Jee Hi Ndio Haki Ama Ni Batili Imezushwa? Na Hivo Kwajili Allah Amewakataza Enyi Ma3ashara Watafutaji Ujuzi Kuwa Musifwate Yale Hamuna Ilmu Nayo Na Amewaidi Kuwa Atawauliza Kuhusu Masikio Yenu Na Macho Yenu Na Nyoyo Zenu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {وَلَا تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ إِنَّ السَّمْعَ وَالْبَصَرَ وَالْفُؤَادَ كُلُّ أُولَٰئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْئُولًا} صدق الله العظيم [الإسراء:36].
Allah Ta3ala Asema:{Na Wala usiyafuate usiyo na ujuzi nayo. Hakika masikio, na macho, na moyo - hivyo vyote vitasailiwa} Sadaq Allah Al3adhim [Alisraa:36].
Na Labda Anataka Abu Abd'Allah Kunikatiza Basi Aniulize:" Na Vipi Mimi Nitajuwa Kwa Yakini Nani Hao Watu WA ilimu WA Haki Mpaka Nichukuwe Kwao Ilmu ya Haki Nirudi Nayo Kwa Watu Wangu Kwajili Niwangazie Njiya Yao Kwa Njiya Ilio Nyoka?". Na Alafu Anarudisha Kwake Jibu Al'Mahdi Al'Muntadhar Al'imam Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema: Allah Ta3ala Asema:
قال الله تعالى: {فَاسْأَلُوا أَهْلَ الذِّكْرِ إِن كُنتُمْ لَا تَعْلَمُونَ} صدق الله العظيم [النحل:43].
Allah Ta3ala Asema:{ Basi Ulizeni Watu Wa Dhikri Ikiwa Nyinyi Hamujuwi} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaml:43].
Na Ama Vipi Utajua Watu WA Dhikri Basi Nitaenda Nikupe Alama Ambayo Utajua UHakika Wa Mwanachuoni Basi Mulize Kuhusu Ta'Awil Aya Katika Al'Quran Al3dhim Mpaka Pindi Aki'Kufundisha Alafu Mwambie Yeye Na Jee Unaweza Kutowa Qasam Ya Kwamba Hi Ta'Awil Ni Ya Haki Hamna Shaka Ndani Yake Wala UtetNishi? Basi Ikiwa Atakwambia: Allah A'alam Ikiwa Nimikosa Basi Ni Kutoka Nafsi Yangu Na Nikipata Ni Kutoka Kwa Allah ! Na Alafu Utamjibu Na Mwambie: Lakini Wewe Ewe Ambae Ni Mwanachuoni Umesema Juu Ya Allah Yale Usio Yajuwa Kwa Ilmu Yakin Na Hivo Ni Amri Ya Shetan Wala Sio Amri Ya Al'Rahman, Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى: {وَلَا تَتَّبِعُوا خُطُوَاتِ الشَّيْطَان إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ ﴿168﴾ إِنَّمَا يَأْمُرُكُم بِالسُّوءِ وَالْفَحْشَاءِ وَأَن تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ مَا لَا تَعْلَمُونَ(169)} صدق الله العظيم [البقرة].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Wala Musifwate Hatuwa Za Shetani Hakika Yeye Kwenu Ni Aduwi Alio Wazi(168)} Lakini Yeye Anawa'Muru Maovu Na Uchafu Na Kuwa Museme Juu Ya Allah Msoyajuwa(169)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].
Na Kauli Ya Mwanachuoni Kwa Yale Asoyajua Ni Katika Yalio'Haramishwa Katika Al'Quran Al3adhim, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {قُلْ إِنَّمَا حَرَّمَ رَبِّيَ الْفَوَاحِشَ مَا ظَهَرَ مِنْهَا وَمَا بَطَنَ وَالْإِثْمَ وَالْبَغْيَ بِغَيْرِ الْحَقِّ وَأَن تُشْرِكُوا بِاللَّهِ مَا لَمْ يُنَزِّلْ بِهِ سُلْطَانًا وَأَن تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ مَا لَا تَعْلَمُونَ} صدق الله العظيم [الأعراف:33].
Allah Ta3ala Asema:{Sema Lakini Ameharamisha Mola Wangu Mlezi Machafu Yale Yalio Dhihiri Kati Yake Na Yalio Fichika Na Dhambi Na Kuonea Bila Ya Haki Na Mum'Shirikishe Allah Yale Ambao Hajateremsha Nayo Utawala Na Kuwa Museme Juu Ya Allah Yale Msio Yajuwa} Sadaqa Allah Al3adhim[Alaaraf:33].
Na Alafu Mwache Huyu Mwanachuoni Basi Sio Katika Watu WA Dhikri Na Utafute Kuhusu ilimu Kwa Mwingine, Alafu Mulize Kitu Katika Al'Quran Al3adhim ikiwa Atasema: La A'alam Sijuwi, Basi Amempa Allah Kama Ujira Ya Mufti Na Kama Kwamba Amekupa Fatwa Kusadikisha Hadithi Ya Mtume WA Allah Sala Allahu Sleyhi WA Alihi WA Salam:[ Mwenye Kusema Allah A'alam Basi Ametowa Fatwa].Kwa Mana Allah Amempa Ajri Kama Kwamba Amekupa Fatwa Kwa Haki, Na Hivo Ni Kwajili Hakutwii Amri Ya Shetani Hakuwa Mwenye Kusema Juu Ya Allah Asio Yajuwa, Na Alafu Mulize Kuhusu Aya Ingine Basi Pindi Akikupa Fatwa Ya Bayana Yake Mwambie Na Jee Unaweza Kutowa Qasam Kuwa Hi Bayana Ni Ya Haki? Basi Ataenda Kukuambia: Ewe Ndugu Yangu Mkarimu Hata Kama Nimikutolea Qasam Lakini Hoja ili Usadiki Sio Kwa Qasam Bali Ni Kwa ilimu Na Nitakuletea Utawala WA Bayana, Hata Ikiwa Atakuletea Utawala WA ilimu Yake Basi Hapo Juu Yako Utumie Akili Yako Jee Hi Ni Utawala Unao Kinaisha? Utakuta Haki inakubali Akili Yako Licha Ya Pua Yako, Na Wala Hupati ila Ni Kusadiki Kwa Akili Na Kupata Utulivu Kamili Ba'Ada Ya Kutadabar Kupeleleza Kwa Bayana Ya Aya Ndani Ya Al'Quran, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {كِتَابٌ أَنزَلْنَاهُ إِلَيْكَ مُبَارَكٌ لِّيَدَّبَّرُوا آيَاتِهِ وَلِيَتَذَكَّرَ أُولُو الْأَلْبَابِ} صدق الله العظيم [ص:29].
Allah Ta3ala Asema:{Kitabu Tume'Kiteremsha Kwako Kimebarikiwa Ili Watadabar Aya Zake Na Kwajili Wakumbuke Wenye Akili} Sadaqa Allah Al3adhim [Saad:29].
Na Ama Vipi Utajuwa Ilmu Al'Yakini Jee Nasser Muhammad Al'Yamani Yeye Ni Haki Al'Mahdi Al'Muntadhar Basi Hili Jambo Lenda Kwa Mwenye Anayo Akili Ama Ataweka Masikizi Nayeye Ni Shahidi, Basi Ataona Kuwa Nasser Muhammad Al'Yamani Anamiliki Kujiamini Kikamilifu Kwa Yale Amemfundisha Allah Kutokana Na Haki Anatoa Changamoto Kwa Ilimu Na Utawala Inao Angazia Kutoka Al'Quran Al3adhim Na Anasema Haki Ambao Itakuwa Kwa Wanazuoni WA Umma Ni Ajabu Anayo Yasema Nasser Muhammad Al'Yamani, Na Kwa Mfano Nasema Juu Ya Ma3ashara Ya Wanazuoni WA Umma: Enyi Ma3ashara Ya Wanazuoni WA Waislamu Na Amewatoweni Poti Katika Waumini Katika Ma'Sahaba WA Mtume WA Allah-Sala Allahi Aleyhi WA Salam- Dhahiri Ya Jambo Katika Wanazuoni WA Kiyahudi Wame'Watoweni Kutoka Njiya ilio Nyoka Kwa Njiya Ya Sunna Ambao Hajawa'Ahidi Allah Kuihifadhi, Basi Wakaongeza Juu Yake Yale Hajateremsha Allah nayo Utawala Kama Mfano WA Haddi Ya Kupura Mawe Kwa Mzinifu Ambae Amiowa Ama Mzinifu Amiolewa, Na Amiteremsha Allah Hadi Ya Zina Katika Ma'Aya Ndani Ya Al'Quran Na Akazifanya Ni Katika Ma'Aya Zaidi Uwazi Na Akazifanya Ni Katika Mama WA Kitabu Hawi Mwenye Kwenda Nazo Kinyume ispokua Mwenye Kuangamia, Basi Mukabadilisha Kauli Sio Ile Alio Sema Allah Na Mtume Wake Na Mukamfanya Allah Anadhulumh Kwenye Hukmu Yake Subhanahu WA Ta3ala Uluwan Kabira, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {وَلَا يَظْلِمُ رَبُّكَ أَحَدًا ﴿٤٩﴾} صدق الله العظيم [الكهف].
Allah Ta3ala Asema:{Na Wala Hadhulumu Mola Wako Yoyote} Sadaqa Allah Al3adhim[Alkahf:49].
Na Vipi Mutasema Yakua Allah Amehukumu Juu Ya Wanawake Wawili Wameolewa Wamitenda Kitendo Cha Uchafu Zinaa Kwa Ridha Yao Wenyewe Na Wala Sio Kurepiwa Kwa Zinaa Na Alafu Munasema Kuwa Allah Amehukumu Kwa Moja Wao Kwa Kupurwa Mawe Mpaka Afe Na Kupura Ni Katika Aina Kali Zaidi Ku'Uwa Kiyasi Yakwamba Nyinyi Munajua Hukmu Juu Ya Yule Mwengine Hakuhukumu Allah Juu Yake Ispokuwa Mijeledi Hamsini Nusu Ya Haddi Ya Mwanamke Mzinifu Ambae Huru? Na Eee Subhana Allah Enyi Ma3ashara Ya Wanazuoni WA Umma ! Na Ash'Hadu Ana La Ilaha Ila Allah WA Ash'Hadu Ana Muhammad Rasul Allah WA Ash'Hadu Kuwa Mimi Ni Al'Mahdi Al'Muntadhar WA Haki Kutoka Mola Wenu Mlezi Nawaita Kwa Mazungumzo Na Nafanya Juu Ya Tafauti Ya madh'Hebu Zenu Na Makundi Yenu Alafu Nafanya Wote Wanao Wafwata Nyinyi Ma'Shahidi Baina Yangu Na Baina Yenu Kwa Haki, Basi Ikiwa Siku'Wanyamazisha Ndimi Zenu Kwa Mantik Ya Utwala WA ilimu Kutoka Al'Quran Al3adhim Sharti Juu Yangu Kuwa Niwalete Utawala WA ilimu Kwa Haki Kutoka Ma'Aya Ya Al'Quran Almuhakamat Zilio Bainika Nazo Ni Mama WA Kitabu haipukani Nazo ila Alio Angamia kulingana Hizo Ni Mama WA Kitabu Kwa Msingi WA Hi Dini ya Kislamu Alhanif Amezifanya Allah Ziko Wazi zimebainika Zimedhibitiwa Dhahiri Yake Na Undani Wake Na HAZINA Haja kuzifanyia Tauwil Kulingana Hizo Ni Muhakamat Ziko Wazi Zaonekana Kama Kuonekana Juwa La Majira Ya Joto katikati Ya Mbingu Haipukani Nazo ila dhalimu Kwa Nafsi Yake Alio Wazi, Kama Mfano WA Haddi Ya Zina Katika Kauli Ya Allah Ta3ala:
بسم الله الرحمن الرحيم {سُورَةٌ أَنزَلْنَاهَا وَفَرَضْنَاهَا وَأَنزَلْنَا فِيهَا آيَاتٍ بَيِّنَاتٍ لَّعَلَّكُمْ تَذَكَّرُونَ (1) الزَّانِيَةُ وَالزَّانِي فَاجْلِدُوا كُلَّ وَاحِدٍ مِّنْهُمَا مِئَةَ جَلْدَةٍ وَلَا تَأْخُذْكُم بِهِمَا رَأْفَةٌ فِي دِينِ اللَّهِ إِن كُنتُمْ تُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلْيَشْهَدْ عَذَابَهُمَا طَائِفَةٌ مِّنَ الْمُؤْمِنِينَ(2)} صدق الله العظيم [النور].
Allah Ta3ala Asema: Bismi Allah Al'Rahman Al'Rahim{Sura Tumeiteremsha Na Tukaifaradhisha Na Tukateremsha Ndani Yake Ma'Aya Zilizo Bainika Huwenda Mukakumbuka(1) Mzinifu Mwanamke Na Mzinifu Mwanamume Basi Wapigeni Mijeledi Kila Moja Wao Mijeledi Miya Na Wala Musiwaone Huruma Kwa Dini Ya Allah Ikiwa Nyinyi Munamini Kwa Allah Na Siku Ya Mwisho Na Washuhudie Adhabu Yao Poti Katika Waumini(2)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnuur].
Na Jee Munaona Aya Hizi Katika Zilio Bainika Ambazo Ni Muhakam Ambazo Ziko Wazi Katika Zile Hazihitaji Kutafsiriwa Kulingana Na Uwazi Wake Kwajili Hizo Ni Katika Mama WA Kitabu? Na Ni'Warify Neno La Mzinifu Mwanaume Na Mzinifu Mwanamke: Na Hawo Ni Wale Ambao Hawahifadhi Uchi Wao Bila Ya wenzi Wao Na Wala Haihalaliki Uchi Wao ila Kwa wenzi Wao, Alafu Akahukumu Allah Juu Yao Kwa Mijeledi Miya Kwa Mwanamume Na Mwanamke Sawa Wawe Wameowa Ama Wameolewa, Na Hi Hukmu Ni Ya Watu Huru, Ama Wajakazi Basi Juu Yao Nusu Ya Watu Huru Na Haddi Yao Ni Mijeledi Hamsini, Na Vile Juu Ya Alio Olewa Mwanamke Mwislamu Huru Mzinifu Mijeledi Miya Kwahivo Juu Ya Alio Olewa Mjakazi Mzinifu Mijeledi Hamsini, Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى: {فَإِذَا أُحْصِنَّ فَإِنْ أَتَيْنَ بِفَاحِشَةٍ فَعَلَيْهِنَّ نِصْفُ مَا عَلَى الْمُحْصَنَاتِ مِنَ الْعَذَابِ} صدق الله العظيم [النساء:25].
Allah Ta3ala Asema:{Basi Akiolewa Na Akafanya Fahisha Basi Juu Yao Nusu Ya Wale Walio Olewa Katika Adhabu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnissa:25].
Ama Amebadilsha Allah Haddi Ya Zina Kwenye Aya ingine? Lakini Aya Zote Ambazo Amezibadilisha Allah Kwa Ma'Aya Muhakamat Zingine Basi Ma'Aya Zote Ambazo Zimebadilika Hukmu Yake Ziko Katika Al'Quran Al3adhim Zote Na Ikabaki Lafdhi Zake Wala Haichukuliwi Ni Hukmu; Bali Inachukuliwa Hukmu Ile Aya Ilio Kuja Badali Yake, Kwahivo Nileteni Aya Ya Kupura Mawe Ikiwa Nyinyi Ni Wakweli !
Na Ewe Aba Abd'Allah Hakika Mimi Similiki Satellite Channel Mpaka Nitangaze Ulinganizi Wangu Basi Ukiweza Kutangaza Katika Hi Albayan Itakao Kuja Katika Ma Channel Za Satellite Basi Fanya Ewe Ndugu Yangu Mkarimu Na Ajira Yako Juu Ya Mol Mlezi WA Ulimwengu, Na Niki'Wanyamazisha Wote Wanazuonj WA Waislamu Kwa Haki Basi Kwa Kila Ulinganizi Burhan Na Burhan Ya Ulinganizi WA Haki Wa Al'Mahdi Al'Muntadhar Ma'Aya Za Al'Quran Ambazo Muhakam Ambazo Zimebainika, Na Wakinyamzisha Wanazuoni WA Waislamu Kwa Ilimu Nayo Ina Uongofu Kuliko Ilimu Ya Nasser Muhammad Al'Yamani Basi Juu Yangu Lana Ya Allah Mpaka Siku Ya Dini.
Na Salam Juu Ya Mitume, NA Al'Hamdulillah Rabi Al3alamin..
Na Kwako Hio Banya Ilio Fafanuliwa Kwa Kaumu Wana'Elewa
https://alyamani.me/showthread.php?t=7522