Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
25 - رجب - 1441 هـ
20 - 03 - 2020 مـ
06:45 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

[ لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان ]
https://alyamani.me/showthread.php?p=324814____


اتّقوا الله أحبّتي الٲنصار الجيش الألكترونيّ
العالميّ..
Mcheni Allah Wapendwa Wangu Ma Anssar Majeshi Wa Elektroniki
Ulimwenguni ..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim


Basi mcheni Allah Wapendwa wangu kwa Allah Ma Anssar walio tangulia walio bora, Basi musiwe wanyonge wala kuskitika kwenye ulinganizi na kubalighisha kwajili ya kuokoa wanadamu kutokana na Virusi vya Corona inao vamia ambao inao nguvu zaidi kumaliza; Virusi vya corona inao piga x x large, Na kile tunacho waonesha katika ma ishara ispokua ni kubwa kuliko mwenzake, Basi zingatieni ju ya kusambaza Bayana ambao kwa inwani ( Virusi Ya corona Ni Kutokana Na Adhabu Ya Chini Pasni Na Adhabu Kuu Huwenda Wakaregea ), Na nimejitoa kwenye jukumu kujibari dhima yangu kwa kuteremsha Bayana na watabeba jukumu ma shahidi wa kubalighisha kwa ulimwengu kwa wingi na kwa kuvamia sana kwenye internet kwa njia ya ( copy na paste ) na kwa youtube katika internet ya ulimwengu, Na hakikisheni ku copy tarehe yake wakati wa kuteremka kwake kwa kalamu ya Al'Imam Al'Mahdi ( Nasser Muhammad ) Siku ya tarehe kutokea Bayana na hivo hivo kwenye youtube vile mutakavo weza, Na bado wanaendelea jeshi la Allah ambalo ni dogo laendelea kushambulia wakanushaji wa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim sawa iwe ni kafiri ama mwislamu, Basi wote ni wakanushaji kufwata kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim ispokua alio rehemewa na Mola Mlezi wangu, Basi wasione Madhalimu ambao ni wakubwa katika waislamu kua wameokoka kutokana na adhabu na wao wajua kua ni madhalimu!


Na bado tunazali kutoa fatwa kua ni kiumbe hai inafanana hawana ilimu nayo, Na wataenda kuona Wanasayansi kutokana na mbinu zake ambao itashangaza macho kwakua nayo inatembea kwa amri ya Allah Al'Wahid Al'Qahar mbora wa kufanya mbinu na hivo ili wajuwe kua kweli ni adhabu kutoka kwa Mola Mlezi wala sio Mess up inajivurumiza bila mpango kwa itakaompata! Na hio kwenu adhabu rangi tafauti kutokana na adhabu; Maumivu na mauti kwa yule imemjia kadara yake na tisho kuu na pigo la uchumi la ulimwengu kuu na haswa kwa mataifa makuu, Na inao kuja ni kubwa zaidi kwa wanamgambo walio wamwanzo wanao kadhibisha na wataenda kujua, Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin, Allahuma Nimebalighisha.. Allahuma Shuhudia.


Na tunaruhusu kuwekwa Bayana hi kwenye mausua kwajili ya kuhimiza kuzidisha kutangaza Bayana ya mwanzo kuhusu virusi vya corona inao kaba huwenda wakawa ni wachaji wakajua kua ni adhabu kutoka kwa Mola Mlezi wa ulimwengu ili wareje kwa Mola Mlezi wao, Basi kimbieni kwa Allah hakika mimi kwenu kutoka kwake ni muonaji baini kwa kutubu na kumnyenyekea na kwa dua, Na jiokoweni nafsi zeni kutokona na adhabu yake kwa kufwata kitabu chake Al'Quran Al3adhim wala sio kukimbia kutokana na adhabu ya Allah kua mufunge misikiti ya Allah kwenye uso ya wanao swali na wanao mkimbia Allah kumkimbilia kwake! Hivi hamiti akili ? Kwahivo Hatowazidishia ispokua adhabu, Basi mcheni Allah enye wenye akili.

Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
خليفةُ الله وعبدُه الٳمام المهديّ ناصرُ محمدٍ اليمانيّ.
________

اقتباس المشاركة 324834 من موضوع سِلسِلة بيانات فَيروس كورونا وسِرّه المَكنون ..

- 2 -
الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
25 - رجب - 1441 هـ
20 - 03 - 2020 مـ
06:45 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

[ لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان ]
https://alyamani.me/showthread.php?p=324814
________


اتّقوا الله أحبّتي الٲنصار الجيش الإلكترونيّ العالميّ ..

بسم الله لا قوة الا بالله..
فاتّقوا الله أحبّتي في الله الٲنصار السابقين الٲخيار، فلا تهِنوا ولا تستكينوا في الدّعوة والتبليغ لٳنقاذ البشر من فيروس كورونا العاصف والٲشدّ فتكاً؛ فيروس كورونا القاصف أكس أكس لارج، وما نُريهم من آيةٍ ٳلا وهي ٲكبر من ٲختها، فركّزوا على نشر البيان الذي بعنوان: (فيروس كورونا من العذاب الٲدنى دون العذاب الٲكبر لعلهم يرجعون..)
(https://alyamani.me/showthread.php?p=324226)

وبرِئت ذمّتي بتنزيل البيان ويتحمّل شهداءُ التبليغ للعالمين بشكلٍ كثيفٍ باكتساحٍ شديدٍ في الانترنت ( نسخاً ولصقاً ) واليوتيوب في الانترنت العالميّة، واحرصوا على نسخ تأريخه يوم تمّ تنزيله بقلم الإمام المهديّ (ناصر محمدٍ) يوم تأريخ صدور البيان وكذلك في اليوتيوب ما استطعتم، ولا تزال جنود الله الصغرى تشنّ الهجوم الشرّس على المُعرضين عن كتاب الله القرآن العظيم على حدٍّ سواء كافرٍ ومسلمٍ، فكلَيهما مُعرِضَيَن عن اتّباع كتاب الله القرآن العظيم ٳلا مَن رحِم ربّي، فلا يحسبنّ الظّلَمة الكِبار في المسلمين ٲنّهم بمفازةٍ من العذاب وهم يعلمون ٲنّهم ظالمون!

ولا نزال نفتي ٲنّه كائنٌ حيٌّ متشابهٌ لا يحيطون به عِلماً، ولسوف يرى العلماء مِن مَكرهِ ما يُدهِش الٲبصار كونه مُسيّرٌ بٲمر الله الواحد القهّار خير الماكرين وذلك حتى يعلموا ٲنّه حقاً عذابٌ من الربّ وليس خبطَ عشواءٍ من يُصيب! وذلكم عذابٌ يسبّب ٲلواناً من العذاب؛ وجَعٌ وموتٌ لِمن جاء قدَرُه وفزعٌ ٲكبر وضربة اقتصاديّة عالميّة كبرى وبالذات الدول العظمى، والقادم ٲعظم للمتشدّقين الٲوّلين الكاذبين ولسوف يعلمون، وسلامٌ على المُرسَلين والحمدُ للهِ ربِّ العالمين، اللهم قد بلّغتُ.. اللهم فاشهد.

ونسمح بتنزيل هذا البيان في الموسوعة للحثّ على تكثيف النشر للبيان الٲوّل بشٲن فيروس كورونا الخانق لعلهم يتّقون ويعلمون أنّه عذابٌ من ربّ العالمين ليرجِعوا إلى ربّهم، ففِروا إلى الله ٳنّي لكم منهُ نذيرٌ مبينٌ بالتوبة والتضرّع والدعاء، وقوا ٲنفسكم من عذابه باتّباع كتابه القرآن العظيم وليس الفرار من عذاب الله ٲن تُغلِقوا مساجدَ الله في وجهِ المُصلّين والفارّين من الله إليه! أفلا تعقلون؟ ٳذاً فلن يزيدكم ٳلا عذاباً، فاتّقوا اللهَ يا ٲولي الٲلباب.

خليفةُ الله وعبدُه الٳمام المهديّ ناصرُ محمدٍ اليمانيّ.
____________
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..