04-17-2009, 10:15 pm


بيان الحجاب الإسلامي إلى كافة نساء الأمة..

Bayana ya 7hijab ya kislamu kwa wanawake wote wa umma


بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على خاتم الأنبياء والمُرسلين وآله الطيبين الطاهرين والتابعين للحق إلى يوم الدين..
Na enye madada zake Alimam Almahdi wote wa kislamu,
Hakika amiwamrisha mola wenu mlezi hijab kamili kati ya watu na akwapa fatwa kuwa hivo ni ukaribu mno kwa kuwa mchaji hivo basi ili usijulikane uzuri wako mpaka awaudhi wale walozama katika ya fitna wale wanfwata mashahawa,kwajil ya hivo amiwamuru Allah musioneshe pambo lenu kwa mwanamume yoyote ila waume zenu, alafu akwapa idhini yakuonekana pale panapo dhihirika nazo ni uso na vipa va mkono kwa ma7hrim wake pekeyake kusadikisha qauli ya Allah:
{ وَقُلْ لِلْمُؤْمِنَاتِ يَغْضُضْنَ مِنْ أَبْصَارِهِنَّ وَيَحْفَظْنَ فُرُوجَهُنَّ وَلا يُبْدِينَ زِينَتَهُنَّ إِلا مَا ظَهَرَ مِنْهَا وَلْيَضْرِبْنَ بِخُمُرِهِنَّ عَلَى جُيُوبِهِنَّ وَلا يُبْدِينَ زِينَتَهُنَّ إِلا لِبُعُولَتِهِنَّ أَوْ آبَائِهِنَّ أَوْ آبَاءِ بُعُولَتِهِنَّ أَوْ أَبْنَائِهِنَّ أَوْ أَبْنَاءِ بُعُولَتِهِنَّ أَوْ إِخْوَانِهِنَّ أَوْ بَنِي إِخْوَانِهِنَّ أَوْ بَنِي أَخَوَاتِهِنَّ أَوْ نِسَائِهِنَّ أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُهُنَّ أَوِ التَّابِعِينَ غَيْرِ أُولِي الأِرْبَةِ مِنَ الرِّجَالِ أَوِ الطِّفْلِ الَّذِينَ لَمْ يَظْهَرُوا عَلَى عَوْرَاتِ النِّسَاءِ وَلا يَضْرِبْنَ بِأَرْجُلِهِنَّ لِيُعْلَمَ مَا يُخْفِينَ مِنْ زِينَتِهِنَّ وَتُوبُوا إِلَى اللَّهِ جَمِيعاً أَيُّهَا الْمُؤْمِنُونَ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ }
صدق الله العظيم [النور:31]
Allah Ta3ala Asema:{Na waambie waumini wanawake wainamishe katika macho yao na wazilinde tupu zao, wala wasionyeshe uzuri wao, isipokuwa unaodhihirika. Na waangushe shungi zao juu ya vifua vyao, wala wasidhihirishe uzuri wao ila kwa waume zao, au baba zao, au baba wa waume zao, au watoto wao, au watoto wa waume zao, au ndugu zao, au watoto wa kaka zao, au watoto wa dada zao, au wanawake wenzao, au iliyowamiliki mikono yao ya kuume, au wafuasi wanaume wasio na matamanio, au watoto wadogo ambao hawajajua uchi wa wanawake. Wala wasipige miguu yao ili yajulikane mapambo waliyoyaficha. Na tubieni kwa Mwenyezi Mungu nyote enyi waumini ili mpate kufanikiwa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur:30].

وتصديقاً لقول الله تعالى:
{يَا أَيُّهَا النَّبِيُّ قُلْ لأَزْوَاجِكَ وَبَنَاتِكَ وَنِسَاءِ الْمُؤْمِنِينَ يُدْنِينَ عَلَيْهِنَّ مِنْ جَلابِيبِهِنَّ ذَلِكَ أَدْنَى أَنْ يُعْرَفْنَ فَلا يُؤْذَيْنَ وَكَانَ اللَّهُ غَفُوراً رَحِيماً}
صدق الله العظيم [الأحزاب:59
Allah Ta3ala Asema:{ Ewe Nabii! Waambie wake zako na wake za waumini, wajiteremshie jalbab zao. Hilo ni karibu zaidi kuweza kujulikana wasiudhiwe. Na Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghufira, Mwenye kurehemu) Sadaqa Allah Al3adhim [Alahzab:59].


Ila wlio ka na wamikata tama haiwaji tena haidh wakawa hawataraji tena kuolewa kati yenu na hana shahawa basi amiruhusiwa kuonekana vipa va mkono na uso kwa watu wote sharti asijipambe mapambo katika uso,kusadikisha kauli ya Allah akisema:

{ وَالْقَوَاعِدُ مِنَ النِّسَاءِ اللاَّتِي لاَ يَرْجُونَ نِكَاحاً فَلَيْسَ عَلَيْهِنَّ جُنَاحٌ أَن يَضَعْنَ ثِيَابَهُنَّ غَيْرَ مُتَبَرِّجَاتٍ بِزِينَةٍ }
صدق الله العظيم [النور:60]
Allah Ta3ala Asema:{ Na wanawake wakongwe ambao hawatarajii kuolewa, si vibaya kwao kupunguza nguo zao bila ya kuonyesha mapambo. Na kama wakistahi ni bora kwao. Na Mwenyezi Mungu ni Msikizi, Mjuzi} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur60].

Na salamon ju ya mitume na Al7hamdu lillah Rabi Al3alamin

Ndugu yenu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani.
وسلامٌ على المُرسلين والحمدُ لله رب العالمين..

أخوكن الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــــــــ ـــ


۞منتديات البشرى الإسلامية۞
https://alyamani.me/showthread.php?p=4487