Mpende Mola Wako Mpenzi Wa Moyo Wako

<Na Enye Ma3ashara Al'Muminin Na Iwe Mapenzi Yenu Makuu Yawe Ni Ya ALLAH Na Mushindane Kwa Kumpenda Na KUTAKA Kuwa Karibu Kwake Ikiwa Nyinyi Mwa'Mwabudu Yeye
_ _ _
<Hakika Amimtumiliza Allah Almahdi Almuntadhar Ili avunje Kiziwizi>
Kilio Zushwa Kutoka Kwa Wanao zidisha Kati Ya Walioamini Kwa Waja Wa Allah Waliokaribu Kati Ya Manabi Na Mitume Wakafanya Kushindana Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Ni Yao Pekeyao mbali Na Waja Wa Allah Wema Na Hivo Ndio Sababu Ya Shirki Ya Waumini Kwa Mola Wao Hawamini Ila Wao Ni Wenye Kumshirikisha Kwake Kwa Waja Wake Wema<Akasema Allah Ta3ala:
{ وَمَا يُؤْمِنُ أَكْثَرُهُمْ بِاللَّهِ إِلَّا وَهُمْ مُشْرِكونَ }
صدق الله العظيم [يوسف:١٠٦]
Allah Ta3ala Asema:{Na Hawa'amini Wengi Wao Kwa Allah Ila Ni Wenye Kuwa Washirikina}Sadaqa Allah Al3adhim[106]

<Na Hio Inatokana Na Sababu Ya Kuwatukuza Waja Wake Wema Kati ya Manabi Na Mitume Wakaitakidi Kuwa Haijuzu Kwa Watu Wema Kushinda Na Wao Kumpenda Allah Na KUTAKA Kuwa Karibu Kwake Wakawacha"Alwasila"Njia Ya Kujikurubisha Kwa Mola Wao
<Wakapotea Kwa Njiaa Kutoka Kwa Mola Wao Ila Mwenye Kuhrumiwa Na Mola Wangu Na Wala Hawa'kuamuru Mitume Wa Allah Wafanye hivo Wala Hawaku'wapa Fatwa Kuwa Haitakiwi Kushindana Na Wao Kwenye IBADA Katika Kumpenda Allah Na KUTAKA Kuwa Karibu Nae,Bali Manabi Na Mitume Wa Allah Wote Amewamuru Allah Kwa Amri Moja Neno Moja Sawa Sawa Baina Yao Wote,Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ تَعَالَوْا إِلَىٰ كَلِمَةٍ سَوَاءٍ بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ أَلَّا نَعْبُدَ إِلَّا اللَّهَ وَلَا نُشْرِكَ بِهِ شَيْئًا وَلَا يَتَّخِذَ بَعْضُنَا بَعْضًا أَرْبَابًا مِنْ دُونِ اللَّهِ فَإِنْ تَوَلَّوْا فَقُولُوا اشْهَدُوا بِأَنَّا مسلمون }
صدق الله العظيم [آل‌ عمران:٦٤]
Allah Ta3ala Asema:{Sema Enye Wenye Kitabu Njoni Kwa Neno Lasawa Baina Yetu Na Baina Yenu Kuwa Tusiabudu Ispokuwa Allah Na Wala Tusimshirikishe Na Yeye Kitu Na Wala Tusichukuwe Badhi Yetu Ju Ya Badhi Miungu Pasi Na Allah Basi Wakikata Semeni SHUHUDIENI Kuwa Sisi Ni Waislamu}Sadaqa Allah Al3adhim[Al3imran:64]
{ وَلَقَدْ بَعَثْنَا فِي كلّ أُمَّةٍ رَسُولًا أَنِ اعْبُدُوا اللَّهَ وَاجْتَنِبُوا الطَّاغُوتَ فَمِنْهُمْ مَنْ هَدَى اللَّهُ وَمِنْهُمْ مَنْ حَقَّتْ عَلَيْهِ الضَّلَالَةُ فَسِيرُوا فِي الْأَرْضِ فَانْظُرُوا كَيْفَ كَانَ عَاقِبَةُ الْمكذبينَ } صدق الله العظيم [النحل: ٣٦]
Allah Ta3ala Asema:{Na Tumitumiliza Kwa Kila Ummah Mtume Kuwa Muabuduni Allah Na Jitengeni Na Taghut Ndio wakawa Badhi Yao Walio Hidishwa Kupata Uongofu Kutoka Kwa Allah Na Wingine Imiwastahiki Kupotea Basi Tembeni Kwenye Ardhi Mone Mwisho wa Walio Kadhibisha}Sadaqa Allah Al3adhim[Alnahal:36]
{ وَاذْكُرِ اسم ربّك وَتَبَتَّلْ إِلَيْهِ تَبْتِيلًا }
صدق الله العظيم [المزمل:٨]
Allah Ta3ala Asema:{Na Utaje Jina La Mola Wako Na utabatal Kwake Tabtila}SADAQA Allah Al3adhim[Almuzamel:8]

Na kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ قُلْ إِنْ كُنْتُمْ تُحِبُّونَ اللَّهَ فَاتَّبِعُونِي يُحْبِبْكُمُ اللَّهُ وَيَغْفِرْ لَكُمْ ذُنُوبَكُمْ وَاللَّهُ غَفُورٌ رَحِيمٌ }
صدق الله العظيم[ال عمران:٣١]
Allah Ta3ala Asema:Sema Ikiwa Munampebda Allah Basi Nifwateni Atawapenda Allah Na Atwasamehe Madhambi Yenu Na Allah Mwenye Msamaha Mwenye Huruma}Sadaqa Allah Al3adhim[Alimran:31]

Yani Wamfate Wabudu Anacho Aboudu Yeye Muhammad Mtume Wa Allah Sallah Allah Aleyhi Wala Alihi Wasalam Washindane Nae Kwa Kumpenda Allah Na KUTAKA Kuwa Karibu Nae,Na Wala Hajawambia Muhammad Mtume Wa Allah Wala Hawajasema Mitume Wote Wala Hawajawambia Moja Wao;"Kwakuwa Mimi Ndio Nae pendwa Zaid Katika Waja wa Allah Na Kuwa Karibu Basi Haitakiwi Mushindane Na Mimi Kwa Daraja Yangu Kwa Mola Wangu",

<Bali Anasema Mtume Wao:"Nifwateni Katika KUM'Abudu Allah Pekeyake Kama Vile Navo Mu'Abudu Na Kushindana Na Waja Wake Wema Wale Kabla Yangu Kumpenda Na KUTAKA Kuwa Karibu Nae",Na Wala Hajatangaza Tokeo La Mshindi Bado Muhamma Mtume Wa Allah Sallah Allahu Aleyhi Wa Ala Alihi Wasalam Kuwa Yeye Ameshinda Kwa Daraja Ya Ju kwa Allah Hili Jambo Liko Katika Ilmu Ya Allah Na Kwenye Mikono Yake Na Wala Hajuwi Yeye Ni Katika Watakao Adhibiwa AMA Ni Katika Wale Atawaingiza Kwenye Rahma Yake,Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
◄ وقال الله تعالى:
{ قُلْ مَا كنت بِدْعًا مِنَ الرُّسُلِ وَمَا أَدْرِي مَا يُفْعَلُ بِي وَلَا بِكُمْ إِنْ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَىٰ إِلَيَّ وَمَا أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ مبين }
صدق الله العظيم [الأحقاف:
<Allah Ta3ala Asema:{Sikuwa Mwenye Kuzuwa Katika Ya Mitume Wala Sijuwi Ile Ntakao Fanyiwa Mimi Wala Nyinyi Hakika Ispokuwa Ila Nafwata Yale Nao Pewa Kwa Njia Ya Wa7hiu Kwangu Ispokuwa Mimi Ni Muonyaji Alio Wazi}Sadaqa Allah Al3adhim[Ala7hqaf]

<Lakini Waislamu Wamefanya Kama Vile Wamefanya Manasara Wakapitisha Kuzidishia Kwa Muhammad Mtume Wa Allah Sallah Allahu Aleyhi Wa Ala Alihi Wasalam Na Kuwa Yeye Ndio Anahaki Kwa Daraja Ya Juu Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Nae Na Haitakiwi Kwa Yoyote Katika Waja Wema Kuwa Ashindane Na Muhammad Mtume Wa Allah Katika Daraja Ya Karibu Katika Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Nae.
<Na Kwajili Ya Hivo Wanasubiri Shafa3a Kwake Mbele Ya Mikono Ya Allah Siku Ya Kiyama Wakapotea Kwa Njia Ila Yule Alio Rehemewa Na Mola Wangu
<Na Pindi Anapo Towa Fatwa Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani Kuwa Anashindana Na Babu Yake Na Mitume Wote Na Manabi Kwenye Daraja Ya Kumpenda Allah Zaidi Na KUTAKA Kuwa Karibu Yake
<Na Hivo Kwajili Waseme:Madamu Anao Haki Almahdi Almuntadhar Na Yeye Ni Katika Waislamu Wema Ashindane Na Muhammad Mtume Wa Allah Na Mitume Wote Na Manabi Kwa Daraja Ya Kumpenda Allah Na KUTAKA Kuwa Karibu Zaidi;Kwa Hivo Kushindana Kwa Mola Hakufanya Allah Ni Ya Mitume Na Manabi Pekeyake;Bali Kuchukuwa Njia Ya Kuwa Nani Alio Karibu Ni Ya Waja Wake Wote Katika Manabi Na Mitume Na Waja Wema Katika Kila ZAMA Na Mahali Mpaka Siku Ya Dini,Japo Kuwa Mimi nimi Tangaza Daraja Ya Almahdi Almuntadhar Khatim Wa Makhalifa Wa Allah Wote,Lakini Mimi Sijafunga Mlango Na Nikasema Kuwa Haitakiwi Kwenu Kushindana Na Mimi,Ila Tu Nataka Kuvunja Kizuwizi Na Kuibomowa Itikadi Batili ya Kuwafadhilisha Manabi Mbali Na Waja Wema Na Kwa Sababu Ya Akida Hi Mbovu Waitakidi Waislamu Kuwa Hawatakiwi Kwao Kushindana Kwa Kumpenda Allah Zaidi Na Kuwa Karibu Nae Kwajili Ya Allah Ame'Fadhilisha Mitume Pasi Na Waja Wake Wema Na Imekuwa Amri Ilio Amuliwa Kwenye Macho Yao,Ikawa Hakuna Tena Kushindana Kwa Mola Kumpenda Na Kuwa Karibu Nae Zaidi Kwa Waislamu Wote Kwasababu Ya Akida Hi Mbovu Ya Batili Ya Kupitisha Mipaka Na Kuzidisha Ju Ya Manabi Wa Allah Na Mitume Wake Kwa Waja Wema,Na Kuwa Wao Ndio Bora Na Haitakiwi Kwa Yoyote Katika Waja Wema Awe Yeye Ndio Anaependwa Zaidi Na Kuwa Karibu Kwa Allah kuliko Moja Katika Manabi Kwajili Ya Hivo Hawakushindana Na Wao Kwa Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Nae Kwajili Manabi Na Mitume Wao Ndio Walio Fadhiliwa Pasi Na Watu Wema Wote Mbele Ya Mola Wao Kwa Sababu Ya Akida Yao Ya Batili Ya Kupwekesha Njia Ya Kushindana Kwa Allah Pekeyake Ni Ya Mitume Na Manabi Pasi Na Watu Wema,Kwajili Ya Hivo Wanaitakidi Kuwa Haitakiwi Kwa Kushindana Na Daraja Ya Juu La Kwa Jannah Wala Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Nae,Na Kwa Sababu Ya Kuwatukuza Manabi Wa Allah Ju Ya Wote Waja Wake Wema Mumipotea Enye Ma3ashara Ya Watu Waja Kwa Njia Ya Al3aziz Al7hamid ..


<Na Haja'Wamuru Muhammad Mtume Wa Allah Muwe Mumtukuze Kama Wanavo Watukuza Manasara Ma Nabi Wao Na Akwafundisha Allah Na Mtume Wake Kuwa Muitakidi Kuwa Hakika Muhammad Mtume Wa Allah Sallah Allahu Aleyhi Walihi Wasalam Ispokuwa Ila Ni Mja Katika Waja Wa Allah Kama Nyinyi Anawalingania Kwa KUM'Abudu Allah Pekeyake
<Na Kuwa Mufwate Ndio Mutake Kwa Allah Njia Yupi Alio Karibu Ndio Mujitahidi Akifanye Jihad Kwajili Ya Njia Yake Ndio Itakuwa Swala Zenu Na IBADA Zenu Na Kwa'UHai wenu Na Kufa Kwenu Ni Ya Allah pekeyake Hana Mshirika Nae Na Muitakidi Kuwa Muhammad Mtume Wa Allah Sallah Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Mfano Wake Kama Mfano Wa Waja Wa Allah Miongoni Mwa Waislamu Hawi Ila Yeye Ni Muonyaji Alio Wazi Ameamuruwa Yale Alio Wamuru Nayo Allah Nayo Ni Kuwa Iwe Uhai Wenu Na IBADA Zenu Ziwe Khalisi Ya Allah Ndipo Watashindana Waja Kwa Mwenye Kuabudiwa Yupi Anaependwa Zaidi Na Alio Karibu,
<Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى:
{ قُلْ إِنَّ صَلَاتِي وَنُسُكِي وَمَحْيَايَ وَمَمَاتِي لِلَّهِ ربّ العالمين ﴿١٦٢﴾ لَا شَرِيكَ له وَبِذَٰلِكَ أُمِرْتُ وَأَنَا أَوَّلُ الْمسلمين ﴿١٦٣﴾ قُلْ أَغَيْرَ اللَّهِ أَبْغِي رَبًّا وَهُوَ ربّ كلّ شَيْءٍ وَلَا تَكْسِبُ كلّ نَفْسٍ إِلَّا عَلَيْهَا وَلَا تَزِرُ وَازِرَةٌ وِزْرَ أُخْرَىٰ }
صدق الله العظيم [الأنعام]
Allah Ta3ala Asema:{Sema Hakia Swala Zangu Na IBADA Zangu Na Uhai Wangu Na Kufa Kwangu Ni Ya Allah Mola Wa Walimwengu(162)Hana Mshirika Na Yeye Na Kwahayo Ni Miamirishwa Na Mimi Ni Wakwanza Katika Waislamu(163)Sema Je Nimtake Pasi Na Allah Nimtake Mola Na Yeye Ni Mola Na Yeye Mola Wa Kila Kitu Na Wala Hatumi Nafsi Ila Juyake Wala Musifanye Dhambi Kwa Dhambi Lingine}Sadaqa Allah Al3adhim[Alan3am]


<Wala Hajwapa Fatwa Muhammad Mtume Wa Allah Sallah Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kuhusu Daraja Ya Ju Kuwa Haitakiwi Ila Kwa Nabi AMA Mtume Alio fadhili'shwa Akasema:{Hakika Iko Kwa Allah Daraja Haitakiwi Kwa Yoyote ila Ni Ya Mja Katika Waja Wa Allah Na Nataraji Awe Ni Mimi}Basi Hamumchi


Na Kwanini Wanaghadibika Majahili Kwa Mwaliko Alimam Almahdi Almuntadhar Wa Kweli Kwa Wote Waja wa Allah Awaongize Kwa Njia Ya Al'3aziz Al'7Hamid Na AWAPA Fatwa Ya Kushindana Kwa Allah Kwa Kumpenda Na Kuwa Karibu Nae Haikuwa Pekeyake Kwa Manabi Na Mitume Pasi Na Watu Wema?
<Na Na'apa Kwa Allah Al3adhim Kuwa Mwenye Akida Hi Basi Amemshirikisha Allah Na Wamefanya Na Yeye Waduni Wanawapenda Kama Mapenzi Ya Allah Wala Hawakushindana Ju Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu,Na Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى:
{ وَمِنَ النّاس مَنْ يَتَّخِذُ مِنْ دُونِ اللَّهِ أَنْدَادًا يُحِبُّونَهُمْ كَحبّ الله وَالَّذِينَ آمَنُوا أَشَدُّ حُبًّا لِلَّهِ وَلَوْ يَرَى الَّذِينَ ظَلَمُوا إِذْ يَرَوْنَ الْعَذَابَ أَنَّ الْقُوَّةَ لِلَّهِ جَمِيعًا وَأَنَّ اللَّهَ شَدِيدُ الْعَذَابِ }
صدق الله
Allah Ta3ala Asema:{Na Katika Watu Mwenye Kuchukuwa Duni Ya Allah Wachini Wanawapenda Kama Kumpenda Allah Na Wale Walio Amini Wanampenda Zaidi Allah Na Lau Wataona Wale Ambao Walio dhulumu
Pindi Wanapo Ona Adhabu Kuwa Nguvu Hakika Ni Ya Allah Yote Na Kuwa Allah Hakika Yeye Mwenye Adhabu Inao Nguvu}Sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara:165]

<Na Enye Ma3ashara Al'Muminin Na iwe Mapenzi Yenu Makuu Nayo Ni Ya Allah Na Kushindana Kwa Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Nae Ikiwa Niynyi Kwake Muna'Mwabudu,Hakika Mapenzi Ya Manabi Na Mitume Ju Ya Watu Mwema Kwajili Wamiwaongoza Kwa IBADA Ya Mpenzi Wao Allah Mwenye Kusamehe Alwadud Na Mbona Hamutaraji Kwa Allah Waqara!Na Muna Nini Hamu mpe Allah Cheo Chake Kisawa Sawa Basi Hamumchi?!Na Iko Wapi Batili Kwenye Ulinganizi Wa Almahdi Almuntadhar Enye Ma3ashara Ya Watu,Mcheni Allah Alwa7hid AL'Qahar Na Muwache Kuabudu Manabi Na Mitume Na Mawali Na Mum'Abudu Allah Kama Vile Yatakiwa Kumwabudu Peke Yake Hana Mshirika Na Musimshirikishe Katika Mapenzi Yake Yoyote,Mumpende Kama Kumpenda Allah Na Kuweni Kumpenda Allah Zaidi Katika Moyozenu,Na Mushindane Kumpenda Na Kuwa Karibu Nae,Na Muwapende Manabi Wake Na Mitume Wake Na Muwasalie Na Muwatole Salamu Kwa Wingi,Na Wala Musiwatukuze Bila Ya Haki Hakika Nyinyi Kwa Akida Yenu Hi Kuwa Manabi Na Mitume Wao Ndio Walio Fadhiliwa Pasi Na Waja Wa Allah Kwa Allah,Na Hi Akida Sababu Ya Shirki Kwa Allah,Na Kutoshindana Katika Waja Wema Kwa Kumpenda Allah Na KUTAKA Kuwa Karibu Nae Zaid,Kwajili Ya Hivi Munawaomba Walio Fadhili'shwa Pasi Na Allah Ila Alio Rehemewa Na Mola Wangu ,
<Allahuma NIMIBALIGHISHA Allahuma Shuhudia,Na Nimiokoa Dhima Yangu,Na Nimifafanuwa Ulinganizi Wangu,Na NIMIBALIGHISHA Amana Yangu Kwa Wale Allah Alio Wadhirishia Kwa Hayo Wawe Mashahidi Kwa Haki ..
Na Salamon Ju Ya Mitume ,Na Alhamdulillah Rabilalamin.

Ndugu Yenu Mja Katika Waja Wa Allah Mwema,Na Khalifa Wake Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani

۞منتديات البشرى الإسلامية۞
https://alyamani.me/showthread.php?p=110786