Fatwa Ya Alimam Almahdi Kuhusu mauti ya Mtume Wa Allah Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam
الإمام ناصر محمد اليماني
04 - 06 - 1437 هـ
13 - 03 - 2016 مـ
04:26 صبـــاحاً
ــــــــــــــــــــــــ
https://alyamani.me/showthread.php?p=219519
Fatwa ya kwamba kifo cha Muhammad Mtume Wa Allah Swala Allahu aleyhi wa Alihi Wa Salam Bila Sababu Ya Ma’Sababu Yoyote Ya Kuwa.
Makala Asili Imeandikwa Kwa Njia Ya Qamar Al’Maghrib
Bismlillah Al’Rahman Al’Rahim
Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabilalamin Imamu Wangu Mpendwa Nataka Kujua Jee Mauti Ya Muhammad Mtume Wa Allah Swala Allahu aleyhi Wa Salam Ilikua Ni Ya Kwaida Ama Aliuliwa?
Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Swala Na Salam Juu Ya Alio Khitimu Unabi Na Mitume Na Ahli Yao Walio Wazuri Na Juu Ya Wote Waumini Mpaka Siku Ya Dini, Ama Ba’ada ya Hapo..
Na ewe Mpendwa Wangu Kwa Allah, Hakika Allah Hajakhalifu Ahdi Yake Kwa Mtume Wake, Subhanahu Ametukuka! Kwakua Ameahidi Kwamba Amkinga Kutokana Na Watu Lakini Hawatoweza Kumuwa Hata Kama watakusanyika Watu Wote Kwake, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الرَّسُولُ بَلِّغْ مَا أُنزِلَ إِلَيْكَ مِن رَّبِّكَ ۖ وَإِن لَّمْ تَفْعَلْ فَمَا بَلَّغْتَ رِسَالَتَهُ ۚ وَاللَّهُ يَعْصِمُكَ مِنَ النَّاسِ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الْكَافِرِينَ (67)}
صدق الله العظيم [المائدة].
Allah Ta3ala Asema:{ Ewe Mtume Balighisha Yale Yalio Teremshwa Kwako Kutoka Kwa Mola Mlezi Wako Na Ikiwa hutofanya Basi Hukufikisha Ujumbe Wake Na Allah Anakukinga Kutokana Na Watu Hakika Allah Haongozi Kaumu Ma Kafiri (67)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].
Na Kwa Hayo Lakini Hapana Budi Kwamba Muhammad Mtume Wa Allah Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Amekufa Kifo chake Bila Sababu Yoyote Na Masababu Ya Kuwa, Na Wala Hakuliwa, Na Hivo Hivo Wote Ma Nabi Mitume Ambao walio teremshiwa juu yao Kitabu Kutoka kwa Mola Mlezi wao Haijatimu kuliwa Yoyote moja Kati yao, Lakini katika ma Nabi Ambao Allah huwapa hukmu katika kitabu basi miongni mwao wanauliwa, Lakini Wale Ma Nabi Ambao Inataeremshwa kwao kitabu kutoka kwa Mola Mlezi wao Basi hakuna alio uliwa pamoja yakua kila umma wanapanga ku’uwa Mtume wa Allah kwao Akatenganisha Allah Bainayo na Mbinu zao.
Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{كَذَّبَتْ قَبْلَهُمْ قَوْمُ نُوحٍ وَالْأَحْزَابُ مِن بَعْدِهِمْ ۖ وَهَمَّتْ كُلُّ أُمَّةٍ بِرَسُولِهِمْ لِيَأْخُذُوهُ ۖ وَجَادَلُوا بِالْبَاطِلِ لِيُدْحِضُوا بِهِ الْحَقَّ فَأَخَذْتُهُمْ ۖ فَكَيْفَ كَانَ عِقَابِ (5)}
صدق الله العظيم [غافر].
Allah Ta3Ala Asema:{ Kabla yao walikadhibisha kaumu ya Nuhu na makundi mengine baada yao. Na kila taifa lilikuwa na hamu juu ya Mtume wao wamkamate. Na walibishana kwa upotovu ili kuipindua haki. Kwa hivyo niliwakamata. Basi ilikuwaje adhabu yangu} Sadaqa Allah Al3adhim [Ghafir].
Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ الَّذِينَ يُحَادُّونَ اللَّهَ وَرَسُولَهُ أُولَٰئِكَ فِي الْأَذَلِّينَ (20) كَتَبَ اللَّهُ لَأَغْلِبَنَّ أَنَا وَرُسُلِي ۚ إِنَّ اللَّهَ قَوِيٌّ عَزِيزٌ (21)}
صدق الله العظيم [المجادلة].
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika wanao mpinga Mwenyezi Mungu na Mtume wake, hao ndio miongoni mwa madhalili wa mwisho (20) Mwenyezi Mungu ameandika: Hapana shaka Mimi na Mtume wangu tutashinda. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye kushinda (21)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almujadala].
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin..
Ndugu Yenu; Al’imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
_____________________________
Kifurushi Cha Bayana
https://alyamani.me/showthread.php?p=219519