Bayana Ya Leo Amiandika Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Kwa Tarehe : 25 - Ramadhan - 1438 H Kulingana Na Kalenda Rasmi Ya Mama wa Vijiji*






ــــــــــــــــــــــــ


الإمام ناصر محمد اليماني
25 – رمضان - 1438 هـ
20 – 06 – 2017 مـ
07:39 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
___________________


Jibu La Al'Imam Al'Mahdi Kwa Yule Ambae Imemchukua utukufu Kwa Dhambi Basi Itamtosha Jahanam Na Paovu Mwisho Wake Ikiwa Atakata Na Akawa Na Kiburi Juu ya Bayana Ya Haki Kwa Ukumbusho




Bismillah Al'Raman Al'Rahim, Na Swala Na Salam Juu Ya Muhammad Mtume Wa Allah Na Alihi Walio Wazuri Na Wote Waumini Katika Kila Zama Na Mahali Mpaka Siku Ya Mwisho, Ama Ba'ada Ya Hapo..
Aaeewe Alwi Ali Sikuoni Ni Shekhe Mwanachuoni unajua; Bali mshipa Mwenye Kujadili Bila Ilimu! Na Ilikua Majadiliano Na Wewe Kuhusu Fungu la Kumi Ya Zaka Jema Lilio Faradhishwa Kwenye Mali Ya Mwislamu Zaka Ya Mali zilo ka Fungu la Kumi ikiwa itafika nisab iwe sawa ni Fedha za Noti ama za chuma ama mbengu ama wanyama, Hivi Hamuamini kwamba kwa kila kitu Fungu la Kumi ama tano ama moja ya sita ama thuluthi moja? Na Wewe Wajadili kwa Ma Mezani na majina yake lakini ambao muhimu kwetu ni kua Zaka ilio Faridhishwa Ni Fungu la kumi Kumi Na Mema Yote Ya Faradhi Kama Mfano swala Na Kufunga Saumu Na Zaka Na Hija Hivo hivo Zote Zimandikwa Katika Kitabu Mema Ni Kumi Mfano wake Wala Haiandikwi Jema Moja Bali Kumi Mfano Wake, Na Hio Fatwa Ya Allah Katika Muhakam ilio Wazi Kitabu Chake Katika Kauli Yake Ta3a:

{مَنْ جَاءَ بِالْحَسَنَةِ فَلَهُ عَشْرُ أَمْثَالِهَا وَمَنْ جَاءَ بِالسَّيِّئَةِ فَلا يُجْزَى إِلا مِثْلَهَا وَهُمْ لا يُظْلَمُونَ}
صدق الله العظيم [الأنعام:160].
Allah Ta3ala Asema:{ Atakae Kuja Na Jema Basi Jaza yake Ni Kumi Mfano Wake Na Atakae Kuja Na Ovu Basi Hatulipwa Ila Mafano Wake Na Wao Hawadhulumiwi} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanam:160].




Na Kwa Mfano, Mwanzo kufaridhishwa Swala Ni Swala Hamsini katika usiku na mchana wake akaihafifisha Allah Mpaka Swala Tano inadikwa kumi mfano wake ndio inarudi kwa ujira Swala Hamsini Katika Usiku Na Mchana Wake, Na Kadhalika Saum Ya Mwezi Wa Ramadhani Kwa kumi mfano wake, Na Hivo Hivo Hija Ni Kwa Kumi Mfano Wake, Na Hi Ni Namus Ya Matendo Mema Ya Yilo Lazmishwa Katika Kitabu, Basi Kadhalika Zaka Ni Fungu La Kumi Katika Mali walumbukizao iwe sawa Ni Ya Chuma Ama Ni Ya Noti Basi Haki Ya Allah Ndani Yake Ni Fungu La Kumi, Na Hivo Ni Kwajili Aiyandike Allah Yake Ni Kama Alio Towa Mali Yake Alio Aliolumbukiza Ameilumbukiza Kwa Allah, Na Hivo Ni Fadhla Kutoka Kwa Allah Kwa Waja Wake.


Na Kwa Mfano, Na Lau Unayo Alfu mia Moja Derham Ama Dinar Sawa NI Ya Chuma Ama Ni Ya Noti Mali wailimbikiza Basi Haki Ya Allah Ndani Yake Ni Fungu La Kumi, Basi ikiwa kutoa kwake katika ilio Faridhishwa akatowa kwa ikhlas Kwajili ya Uso Wa Allah Na Wala Hataki Jaza Ya Kiduni wala Kushukuriwa wala ria Anampa Wahyu Allah Raqib Akuandikie Kua Wewe Umetowa Mali Yako Uliolimbikiza Yote Kwa'Kua umitowa Fungu La Kumi Ndani yake Na Vile Jema Ni Kumi Mfano Wake Basi Umikua Kama Umitoa Mali Yako Ulioilimbikiza Yote. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{مَنْ جَاءَ بِالْحَسَنَةِ فَلَهُ عَشْرُ أَمْثَالِهَا وَمَنْ جَاءَ بِالسَّيِّئَةِ فَلا يُجْزَى إِلا مِثْلَهَا وَهُمْ لا يُظْلَمُونَ}

صدق الله العظيم [الأنعام:160].
Allah Ta3ala Asema:{ Atakae Kuja Na Jema Basi Jaza yake Ni Kumi Mfano Wake Na Atakae Kuja Na Ovu Basi Hatulipwa Ila Mafano Wake Na Wao Hawadhulumiwi} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanam:160].


Basi hayo Ni Masaala Ya Kihisabu Kwenye Sahihi Sana, Na Lau Tutasema Haki Ya Allah Ilio Faradhiwa Ni Chini Ya Hapo Kwa Mfano: Fungu La Tisa, Basi itakua Kuna Hitilafu Kwenye Mezani Ya Mema Katika Kitabu, Na Itahitilafika Bayana Ya Allah Ta3ala:

: {وَالَّذِينَ يَكْنِزُونَ الذَّهَبَ وَالْفِضَّةَ وَلَا يُنفِقُونَهَا فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَبَشِّرْهُم بِعَذَابٍ أَلِيمٍ (34) يَوْمَ يُحْمَىٰ عَلَيْهَا فِي نَارِ جَهَنَّمَ فَتُكْوَىٰ بِهَا جِبَاهُهُمْ وَجُنُوبُهُمْ وَظُهُورُهُمْ ۖ هَٰذَا مَا كَنَزْتُمْ لِأَنفُسِكُمْ فَذُوقُوا مَا كُنتُمْ تَكْنِزُونَ (35)}

صدق الله العظيم [التوبة].
Allah Ta3ala Asema:{ Na wale walimbikizao dhahabu na fedha na hawazitumii katika njia ya Mwenyezi Mungu, basi wabashirie adhabu iumizayo (34) Siku zitakapotiwa katika moto wa Jahannam, na kwazo vitachomwa vipaji vya nyuso zao na mbavu zao na migongo yao. Haya ndiyo mliyojilimbikizia, basi onjeni yale mliyokuwa mkiyalimbikiza (35)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba].


Alaa Hakika Akiba Nayo ni Iliolimbikizwa Lakini Haki Ya Allah Ndani Yake imewekwa Alama Mara Moja Nayo Ni Fungu La Kumi, Na Pindi Akitowa Ndani Yake Haki Ya Allah ilio Faradishwa Zaka Fungu La Kumi Basi ikawa imetakasika Kama kwamba Amitoa Yote Kwakua Amitoa Fungu La Kumi, Na Kwa Vile Jema Lilio Faradhishwa Inandikwa Kwa Kumi Mfano Wake Basi Kama Ametowa Mali Yake Aliolimbikiza Yote.Na Hivo Ndio Bayana Ya Allah Ta3ala:



: {وَالَّذِينَ يَكْنِزُونََ الذَّهَبَ وَالْفِضَّةَ وَلَا يُنفِقُونَهَا فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَبَشِّرْهُم بِعَذَابٍ أَلِيمٍ (34) يَوْمَ يُحْمَىٰ عَلَيْهَا فِي نَارِ جَهَنَّمَ فَتُكْوَىٰ بِهَا جِبَاهُهُمْ وَجُنُوبُهُمْ وَظُهُورُهُمْ ۖ هَٰذَا مَا كَنَزْتُمْْ لِأَنفُسِكُمْ فَذُوقُوا مَا كُنتُمْ تَكْنِزُونَ (35)}
صدق الله العظيم.

Allah Ta3ala Asema:{ Na wale walimbikizao dhahabu na fedha na hawazitumii katika njia ya Mwenyezi Mungu, basi wabashirie adhabu iumizayo (34) Siku zitakapotiwa katika moto wa Jahannam, na kwazo vitachomwa vipaji vya nyuso zao na mbavu zao na migongo yao. Haya ndiyo mliyojilimbikizia, basi onjeni yale mliyokuwa mkiyalimbikiza (35)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba].


Na Hapana Mgongano Katika Kitabu Cha Allah Kwakua Hajawamuru Waumini Watowe Mali Yao Walioilimbikiza Yani Mali Yao Yote iliolimbikizwa Kwa'Kua Hivo Itapingana Na Kauli Ya Allah Ta3ala:

: {إِنَّ الْإِنسَانَ خُلِقَ هَلُوعًا (19) إِذَا مَسَّهُ الشَّرُّ جَزُوعًا (20) وَإِذَا مَسَّهُ الْخَيْرُ مَنُوعًا (21) إِلَّا الْمُصَلِّينَ (22) الَّذِينَ هُمْ عَلَىٰ صَلَاتِهِمْ دَائِمُونَ (23) وَالَّذِينَ فِي أَمْوَالِهِمْ حَقٌّ مَّعْلُومٌ (24) لِّلسَّائِلِ وَالْمَحْرُومِ (25) وَالَّذِينَ يُصَدِّقُونَ بِيَوْمِ الدِّينِ (26) وَالَّذِينَ هُم مِّنْ عَذَابِ رَبِّهِم مُّشْفِقُونَ (27) إِنَّ عَذَابَ رَبِّهِمْ غَيْرُ مَأْمُونٍ (28)}
صدق الله العظيم [المعارج].
Allah Ta3ala Asma:{ Hakika Mtu Amiumbwa Mwenye Haraka (19) Ikimpata Shari jazu3a (20) Na ikimpata kheri ananyima (21) ispokua Wanao Swali (22) Wale Ambao Kwenye Swala Zao Wanadumu (23) Na Wale Kwenye Mali Yao Haki Ilio Na Alama (24) Kwa Anae Umba Na Alie Nyimwa (25) Na Wale Wanao Sadiki Kwa Siku Ya Dini (26) Na Walae Ambao Kwa Adhabu Ya Mola Mlezi Wao Wanihifia( 27) Hakika Adhabu Ya Mola Nlezi Wao Sio maamun (28)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaarej].
Alaa Hakika Ya Haki Ya Allah Inao Alama Katika Mali Yao iliolimbikizwa Fungu La Kumi, Basi Hakuna Mngongano Kwenye Kitanu Cha Allah Ewe Alwi Mpaka Awamuru Allah Watowe Mali Yao Akiba iliolimbikizwa Yote; Bali Ni Fungu La Kumi. Na Kwa Vile Jema La Faradhi Kwa Kumi Mfano Wake Basi Kama Alio Itowa Yote, Basi Mche Allah Ndugu yangu Mkarimu Wala Usiwe Katika Wale Alio Sema Allah Juu Yao:

: {إِنَّ الَّذِينَ يُجَادِلُونَ فِي آيَاتِ اللَّهِ بِغَيْرِ سُلْطَانٍ أَتَاهُمْ ۙ إِن فِي صُدُورِهِمْ إِلَّا كِبْرٌ مَّا هُم بِبَالِغِيهِ ۚ فَاسْتَعِذْ بِاللَّهِ ۖ إِنَّهُ هُوَ السَّمِيعُ الْبَصِيرُ (56)}
صدق الله العظيم [غافر].
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika Wale Wanao Jadiliana Katika Aya Za Allah Bila Utawala Imewajia Hakika Katika Nyoyozao ispokua Kiburi Ambao Wowo hawaifiki Basi Jilinde Kwa Allah Hakika Yeye Ni Mwenye Kusikia Mwenye Kuona (56)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Ghafir].
Alaa Hakika Bayana Ya Al'Quran Kwa Al'Quran Imeshikana Madhbuti Kama Jengo lilio Pangaa Mawe Yake Inasaidia Badhi Yake Juu Ya Badhi Na inabainisha Baadhi Yake kwa Baadhi, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

: {وَلَقَدْ أَنزَلْنَا إِلَيْكُمْ آيَاتٍ مُّبَيِّنَاتٍ وَمَثَلًا مِّنَ الَّذِينَ خَلَوْا مِن قَبْلِكُمْ وَمَوْعِظَةً لِّلْمُتَّقِينَ (34)}
صدق الله العظيم [النور].
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika Tumeteremsha kwenu Ma Aya Za kubainisha Na Mfano Katika Walio Pita Kabla Yenu Na Mawaidha Ya Wacha Mungu (34)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur].


Na Wala Hatutokufungulia Sehemu Hususi Kwa Uso Wa Tuvoti - Kama wapenda Umash'huri iwe Kwako Sehemu Hususi Kwa Uso Wa Tuvoti - Kwakua Wewe Sio Mwanachuoni: Bali Unajadilikutoka kwa Nafsi Yako wala hutoweza kuchukuwa Aya utulete Bayana ya haki yake bora kuliko Al'imam Al'Mahdi Na Bora Kutafsiri kwa kua Unajadili Bila Utawala Kutoka kwa Allah umekujia, Basi usiwe katika wale Alio Sema Allah Juu Yao:

: {وَمِنَ النَّاسِ مَن يُجَادِلُ فِي اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَلَا هُدًى وَلَا كِتَابٍ مُّنِيرٍ (8)}

صدق الله العظيم [الحج]،
Allah Ta3ala Asema:{ Na Katika Watu Mwenye Kujadili Katika Allah Bila Ilimu Wala Uongofu Wala Kitabu Kinao Angaza (18)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhaj],
Kwa'Kua Nakuona Unajadili Katika Aya Za Allah Kutoka Kwa Nafsi Yako Na Shetan, Basi Usiwe Katika Wale Amesema Allah Juu Yao:

{الَّذِينَ يُجَادِلُونَ فِي آيَاتِ اللَّهِ بِغَيْرِ سُلْطَانٍ أَتَاهُمْ ۖ كَبُرَ مَقْتًا عِندَ اللَّهِ وَعِندَ الَّذِينَ آمَنُوا ۚ كَذَٰلِكَ يَطْبَعُ اللَّهُ عَلَىٰ كُلِّ قَلْبِ مُتَكَبِّرٍ جَبَّارٍ (35)}
صدق الله العظيم [غافر].
Allah Ta3ala Asema:{ Wale Ambao Wanajadili Kwa Aya Za AllahBila Utawala Imewajia Imekuwa kubwa Hasira Kwa Allah Na Kwa Wale Ambao Wameamini Hivo Allah Anweka Muhuri Allah Juu Ya Kila Moyo Una Kibri Jabari (35)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ghafer], Kama Kwamba Nakuona Wewe Miongoni Mwao Katika Wale Hawaongoki, Kwasababu Yakukanusha Kwako Kwa Kuhusu Bayana Ya Haki Ya Maaya Ya Mola Mlezi Wao; Bali Hasira Ya Allah Ni Kubwa Kuliko Hasira Zao Kwako. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
: {إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا يُنَادَوْنَ لَمَقْتُ اللَّهِ أَكْبَرُ مِن مَّقْتِكُمْ أَنفُسَكُمْ إِذْ تُدْعَوْنَ إِلَى الْإِيمَانِ فَتَكْفُرُونَ (10)} صدق الله العظيم [غافر].

Allah Ta3ala Asema:{ Hakika Ya Wale Walio Kufuru Wanaitwa Kwa Hasira Za Allah Kubwa Kuliko Hasira Zenu Wenyewe Pindi Munalinganiwa Kwenye Imani Basi Munakufuru (10)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ghafir].


Na Jee Imekujia Kutokana Na ilimu ile ambao ina uongofu kuliko Alio Mfundisha Allah Nayo Khalifa Waka Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani? Basi Njo nayo ikiwa ni katika wa kweli, Lakini unajaribu kuvisha Haki kwa batil na unazuwia kutokana na Haki kutoka Kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Na Kwa Maskitiko Kama Kwamba Ni Kwa Kusudi Kutoka Kwako Kuzuwia Haki Bila ilimu wala uongofu wala kitabu kinao angazia.


Na Kuhusu Ya Kamati Ambayo unataka kuikalifisha Natamani Utujulishe Sisi Nani katika Ma Anssar Kulingana Na Kauli Yako Wala Sio Katik Ma Anssar Wa Al'Imam Al'Mahdi, Basi Kamati ipi itasubutu Kukanusha Haki? Basi laiti kwako Utujulishe nawo Nani Katika Ma Anssari Tufanye Mubahala Kuapizana Baina Ya Al'Imam Al'Mahdi Na Alioko Na Wewe, Kwakua Yeye Hakutoa Beyaa Kamwe Beyaa Ya Haki, Bali Ameingia Na Ukafiri Na Akatoka Nayo ikiwa Wewe Ni Katika Wa Kweli Kwamba Una Kamati Baina Ya Ma Ansari Wetu, Na Najua Kwamba Wewe Unaenda mbio ili kufitini wale ambao kwenye Nyoyo zao shaka Katika Ma'Anssar.


Na Nashkuru Allah Uchunguzi Wa Ma Ansari Wangu, Na Wallah thuma wallah Hapana Na Wala Hutoweza Kufitini Yoyote Katika Waja Wa Neema Kuu Katika Kaumu Anawapenda Allah Na Wanampenda Yeye, Na ewe Mwanaume, Huna Haja Ya Kamati; Bali Kwa Utawala Wa ilimu Ya Haki Kutoka Kwa Al'Rahman Kwa Muhakam Ilio Wazi Al'Quran.




Na Kuhusu Mubahala Kuapizana Basi Kwa Vile Kua Hakika Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamni Anajadili Kwa Ilimu Na Uongofu Kutoka Kwa Kitabu Kiao Angazia Al'Quran Al3adhim Akasema Allah Ta3ala:



: {فَمَنْ حَاجَّكَ فِيهِ مِن بَعْدِ مَا جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ فَقُلْ تَعَالَوْا نَدْعُ أَبْنَاءَنَا وَأَبْنَاءَكُمْ وَنِسَاءَنَا وَنِسَاءَكُمْ وَأَنفُسَنَا وَأَنفُسَكُمْ ثُمَّ نَبْتَهِلْ فَنَجْعَل لَّعْنَتَ اللَّهِ عَلَى الْكَاذِبِينَ (61)}

صدق الله العظيم [آل عمران].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Atakae Kukuhoji Ndani Yake Ba'Ada Ilipo kukujia Katika ilimu Basi Sema Njoni Tuinte Watoto Wetu Na Watoto Wenu Na Wake Zetu Na Wake Zenu Na Nafsi Zetu Na Nafsi Zenu Alafu Tufanye iptihal kuapizana Tujalie Lana Ya Allah Juu Ya Warongo (61)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran].


Basi Ikiwa Wewe Unataka Kuweka Picha Yako Kwenye Jina Lako Na Katika Ukurasa Huu Tufunge Mazungumzo Kwa Mubahala Kuapizana, Lakini Kabla Ya Mubahala Kuapizana Lete Ulio Nayo Katika ilimu Kutoka Kwa Allah Ktoka Kwa Al'Quran Al3adhim, Na Haihat Haihat Na Mola Wa Ardhi Na Mbingu Hutotujia Na Mfano Ila Tumekujia Kwa Haki Na Bora Kutafsiri Kuliko Wewe Kwa Idhini Ya Allah, Na Sababu Ya Kukata Kwangu Kua iwe Na Sehemu yako Kwakua Sio Mwanachuoni Wewe, Na Madamu Watafuta Usiku Na Mchana Huwenda Wewe Ukapata Hoja Hata Kama Kutoka Kwa Tundu ya sindano Basi Nakubashiria Na Naitukuza Bishara Yangu Kwako Kwa Kiapo Qasam Billah Al3adhim Lau Utasoma Bayana Zote Za Al'Imam Al'Mahdi Ma Alfu Ya Ma Bayana Kwa Muda Wote Wa Miyaka Kuminambili Na Nusu Basi Badala Akuzidishie Al'Rahman Nuru Na Uongofu Kwa Mabayana Ya Haki Ya Al'Quraan Na Kwa Maskitiko; Bali Itakuzidisha Ma Bayana Rijs juu Ya Rijsi Yako! Tallah Hamoneshi Allah Yoyote Katika waja wake Haki ispokua pindi Akijua Kwamba Mja Wake Ataka Kufwata Haki wala Pasi Na Haki Kutaka Njia, Bali Naona Kiburi Na Chuki Imejaza Moyo Wako upande Wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Basi ikiwa uko hivo ewe Alwi Ali Basi Hatokuongoza Allah Kwenye Haki Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{الَّذِينَ يُجَادِلُونَ فِي آيَاتِ اللَّهِ بِغَيْرِ سُلْطَانٍ أَتَاهُمْ ۖ كَبُرَ مَقْتًا عِندَ اللَّهِ وَعِندَ الَّذِينَ آمَنُوا ۚ كَذَٰلِكَ يَطْبَعُ اللَّهُ عَلَىٰ كُلِّ قَلْبِ مُتَكَبِّرٍ جَبَّارٍ
(35)} صدق الله العظيم [غافر].
Allah Ta3ala Asema:{ Wale Ambao Wanajadili Kwa Aya Za Allah Bila Utawala Imewajia Imekuwa kubwa Hasira Kwa Allah Na Kwa Wale Ambao Wameamini Hivo Allah Anweka Muhuri Allah Juu Ya Kila Moyo Una Kibri Jabari (35)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ghafer],
Wala Sikudhani Wewe Ni Katika Ma'Shetani Watu Lakini imekuchukua Utukufu Kwa Dhambi Kwajili Ya Hayo Hutafuti Haki ilatu Unatafuta Katika Ma'Bayana Huwenda Kwako Utjipatia Pengo ujadiliane Nalo, Na Wala Hutolipata Kwa Idhni Ya Allah.


Na Ewe Mwanaume Mche Allah Na Utake Kulekea Kwa Mola Mlezi Wako ili Aongoze Moyo Wako Na Uombe Allah Kwa ikhlasi Ni Yake Dini Sema: " Allahuma Ikiwa Waona Kwamba Mimi Naitisha Mubahala Kuapizana na Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Haki Kutoka Kwako Basi Olewangu Kutokana Na Adhabu Siku Ya Moshi Na Adhabu Ya Ja7him, Kwakua Atakae Apizana Na Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Kweli Basi Imekua Haki Juu Yake Lana Ya Allah Na Atamfukuza Allah Kwa Rahma Yake Na Ameghadhibika Juu Yake Na Amemwandalia Allah Adhabu Ya Kudumu Kwenye Moto Wa Jahim".
Basi Fikiria Na Uyapime Na imekua hali yako iko kwnye hatari Adhimu, Basi Jilinde Kwa Allah Kutokana Na Shetani Rajim Tallahi, Wala Sitamani Ikupate Lana Ya Allah Na Ghadhabu Zake; Bali Rahma Yake Na Uwadhimu Wa Neem Ya Ridhwan Nafsi Yake, Na kuwa Katika Wakushukuru Pindi Amekadiria Allah Kuweko Wewe katika Umma Wa Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani, Na Kua Katia Wenye Kushukuru pindi Aemkuonesha Allah Kwa Ulinganizi Wake Katika Zama Za Mazungumzo Kabla Ya Kudhiri, Na Umwachie Kiburi Na Kujighuri Shetani Wala usiwe Kwa Shetani Rafiki, Na Utake Kulekea Kwa Moyo Ulio Na Khushu Kwa Mola Wako Kua Aifanye Kutumwa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Juu Yako Neema Wala sio Magamivu, Na Tamani Kwa Mola Wako Kufwata Haki, Na Kua Mkweli Kwa Allah Atakusaiki Na Ataongoza Moyo Wako Na Uwe Ni Wenye Kushukuru, Na Salam Juu Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabi Al3alamin..



Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.


خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_______________


https://alyamani.me/showthread.php?p=262061
https://alyamani.me/showthread.php?p=262061