Mwenye kuitakidi kwa shafa3a ya waja mbele ya mikono ya mola anae Abudiwa basi tayari amimshirikisha Allah..
من يعتقد بشفاعة العبيد بين يدي الربّ المعبود فقد أشرك بالله..

19 - 09 - 1431 هـ
29 - 08 - 2010 مـ
08:51 صباحاً
ـــــــــــــــــ

Mwenye kuitakidi kwa shafa3a ya waja mbele ya mikono ya mola anae Abudiwa basi tayari amimshirikisha Allah..

بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على جدي محمد رسول الله -صلّى الله عليه وآله وسلّم- وآله الأطهار والسابقين الأنصار في الأولين وفي الآخرين وجميع المُسلمين إلى يوم الدين

Bismillahi Alrahman Alrahim,na sala na salamu kwa babu yangu Muhammad mtume wa Allah-sala Allahu Aleyhi walihi wasalam-na alihi walotwahirika na walo tangulia katika ma Alanswar katika wa mwanzo na wa mwisho na waislamu wote mpaka siku ya din.

Na enye ma umma wa kislamu ma7hujaj nyumba ya Allah Alharam, `mcheni Allah hakika mimi nawaonya yale walio onywa kabla yenu wacheni akida ya shafa3a ya waja kwa waja katika mikono ya mola anae abudiwa hakika mimi ni mmonyaji alio wazi kwa bayana ya haki ya Alquran Al3adhim, Na nimipata kuwa yule mwenye kuitakidi kwa kushufa3iwa na mawali wa Allah kwao mbele ya mikono ya Allah wamimshirikisha Allah na wamejidhulumu nafsi zao na imepotea kwao yale wanao zuwa, Na hio mbeleyenu swali na jibu moja kwa moja kutokana na muhakam Alkitab ilio wazi.

Suali 1- Na je anajuwa Allah kwa yoyote katika waja waka anasubutu kushufa3ia
kwa waja wake baina mikono ya Mola wao siku ya kiyama?

Jibu 1- Amesema Allah Ta3ala:

{وَيَقُولُونَ هَؤُلاء شُفَعَاؤُنَا عِندَ اللّهِ قُلْ أَتُنَبِّئُونَ اللّهَ بِمَا لاَ يَعْلَمُ فِي السَّمَاوَاتِ وَلاَ فِي الأَرْضِ سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى عَمَّا يُشْرِكُونَ}
صدق الله العظيم [يونس:18].
Amesema Allah Ta3ala:{Wanasema hawa ndio mashafii wetu kwa Allah,sema mutamjulisha Allah kwa yule asie juwa kiliyomo katika mbingu wala Katika Ardhi ametukuka mtukufu wa daraja alie juu kwa yale munao shirikisha}[sadaqa Allah Al3adhim[Yunus:18]

Suali 2

Na je amiamuru Allah Mitume wake watanabahishe watu kwa kuitakidi kushufaiwa na mawali wa Allah mbele ya mikono ya mola wao?

Jibu 2

Amesema Allah Ta3ala:
{وَأَنذِرْ بِهِ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَن يُحْشَرُواْ إِلَى ربّهم لَيْسَ لَهُم مِّن دُونِهِ وَلِيٌّ وَلاَ شَفِيعٌ لَّعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ} صدق الله العظيم [الأنعام:51].
Allah Ta3ala Amesema:{Na uwaonye wale wanao ogopa kufufuliwa kwa mola wao hawana pasi na yeye chini yake wali wala shafi3 na huwenda wawe ni wachaji}sadaqa Allah Al3adhim[Alan3am:51]

Sual 3-Na je kwa makafiri wanao wa kuwashufaia mbele ya mikono ya mola wao kama vile wakitakidi katika dunia na akhera?

Jibu 3-Amesema Allah Ta3ala:

{وَأَنذِرْهُمْ يَوْمَ الْآزِفَةِ إِذِ الْقُلُوبُ لَدَى الْحَنَاجِرِ كَاظِمِينَ مَا لِلظَّالِمِينَ مِنْ حَمِيمٍ وَلَا شَفِيعٍ يُطَاعُ}
صدق الله العظيم [غافر:18].
Allah Ta3ala Asema:{Na uwaonye siku ya azifa pindi nyoyo iko kwa koo kadhimin hawana madhalimu rafiki wala shafi3 atakaesikizwa}sadaq Allah Al3adhim[Ghafir:18]

Suali 4-Na je kwa waumini wanao wenye kuwaombeleza mbele ya mikono ya Allah kama wanavo itakidi?

Jibu 4-Amesema Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ أَنفِقُواْ مِمَّا رَزَقْنَاكُم مِّن قَبْلِ أَن يَأْتِيَ يَوْمٌ لاَّ بَيْعٌ فِيهِ وَلاَ خُلَّةٌ وَلاَ شَفَاعَةٌ} صدق الله العظيم [البقرة:254].
Allah Ta 3ala Asema:{enye wale ambao walio Amini toweni katika kile tulio wa ruzuku kabla ije siku ambayo hakuna bey3 ndani yake wala uswahibu WLA shafa3a}Sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara:254]

Suali 5-kwa hio hatosubutu yoyote awe atasongea mbele ya mikono ya Mola wake ahojiane nae kuhusu kuadhibu waja wake wale ambaeo walijidhulumu nafsi zao alafu awashufaie madhalimu katika mikono ya Mola wao?

Jibu5-Amesema Allah Ta3ala:
{فَمَن يُجَادِلُ اللّهَ عَنْهُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ أَم مَّن يَكُونُ عَلَيْهِمْ وَكِيلاً} صدق الله العظيم [النساء:109].
Allah Ta3ala Asema;{Na yupi atakae mjadili Allah ju yao siku ya Qiyama Ama nani atakuwa wakili wao}Sadaqa Allah Al3adhim[Alnisa:109]

Suali 6-ikiwa baba ni katika mawali wa Allah na mtoto ni katika wale ambao wami dhulumu nafsi zao je atamtosheleza kutokana na adhabu ya Allah amshufaie mtoto wake mbele ya molawake?

Jibu 6-Amesema Allah Ta3ala:
{وَاخْشَوْاْ يَوْماً لاّ يَجْزِي وَالِدٌ عَن وَلَدِهِ وَلاَ مَوْلُودٌ هُوَ جَازٍ عَن وَالِدِهِ شَيْئاً إِنّ وَعْدَ اللّهِ حقّ فَلاَ تَغُرّنّكُمُ الْحَيَاةُ الدّنْيَا وَلاَ يَغُرّنّكُم بِاللّهِ الْغَرُورُ} صدق الله العظيم [لقمان:33].
Allah Ta3ala Asema:{Namuogope siku hatoweza kumjazi baba mtoto wake wala mtoto ataweza kumjazi babake kitu wala iswaghuru maisha ya dunia wala isiwaghuru kwa Allah kujighuru}sadaqa Allah Al3adhim[Luqman:32]

Suali 7-Na je akiwa mume ni katika waja wema mawali wa Allah na mkewake ni katika walio jidhulumu nafsi zao je atweza kumtosheleza mkewake kitu amshfaie mbele ya mikono ya mola wake hata kama ni nabi mtume?

Jibu 7-Amesema Allah ata3ala:

{ضَرَبَ اللَّـهُ مَثَلًا لِّلَّذِينَ كَفَرُوا امْرَأَتَ نُوحٍ وَامْرَأَتَ لُوطٍ كَانَتَا تَحْتَ عَبْدَيْنِ مِنْ عِبَادِنَا صَالِحَيْنِ فَخَانَتَاهُمَا فَلَمْ يُغْنِيَا عَنْهُمَا مِنَ اللَّـهِ شَيْئًا وَقِيلَ ادْخُلَا النَّارَ مَعَ الدَّاخِلِينَ ﴿١٠﴾} صدق الله العظيم [التحريم
Allah Ta3ala Amesema:{Amipiga Allah mfano kwa wale walio kufuru mke wa Nu7h na mke wa Lut walikuwa wako chini ya waja wawili wetu wema wakawakhini hawakuwafa mbele ya mola wao kitu wakambiwa ingieni moto pamoja na wanao ingia}sadaqa Allah Al3adhim[Altahrim]

Suali 8-Na je hio manake kukanusha shafa3a kabisa kata kata kwa waja mbele ya mola anae abudiwa kwa waja wake wote?

Jbu 8-Amesema Allah Ta3ala:
{وَاتَّقُواْ يَوْماً لاَّ تَجْزِي نَفْسٌ عَن نَّفْسٍ شَيْئاً وَلاَ يُقْبَلُ مِنْهَا عَدْلٌ وَلاَ تَنفَعُهَا شَفَاعَةٌ وَلاَ هُمْ يُنصَرُونَ} صدق الله العظيم [البقرة:123].
Allah Ta3ala Asema:{Na muigope siku haitojazi nafsi kwa nafsi kitu wala haikubaliwi nayo uwadilifu wala haitomfa shfa3a wla wao watanusuriwa}Sadaqa Allahu Al3adhim:[Albaqara:123]

Suali 9-kwa hivo haitofa wazazi kizazi chao mbele ya mola wao ndio hatokubali Allah kwa yoyote kwao ashufaie ahli zake mbele ya mikono ya Mola wao, basi tuzidishie fatwa kwa hayo katika mu7hkam ya kitabu ukumbusho kwa wenye akili,

Jibu 9-Amesema Allah Ta3ala:

{لَن تَنفَعَكُمْ أَرْحَامُكُمْ وَلَا أَوْلَادُكُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ يَفْصِلُ بَيْنَكُمْ وَالله بِمَا تَعْمَلُونَ بَصِيرٌ (3)}
صدق الله العظيم [الممتحنة].
Allah Ta3ala Asema:{haitowafa wazazi wala watotowenu siku ya kiyama atafafanuwa kati yenu na Allah kwa yale munao yafanya anaona(3)}[sadaqa Allah Al3adhim:Almumtahana]

Suali 10-Kwa hio shafa3a ni kutoka kwa Allah kwake ndio hajavuka dhati yake amitukuka kwa yoyote katika waja wake basi tuzidishie fatwa yakuhakikisha kutoka muhkam Alkitab ukumbusho kwa wenye akili,

Jibu 10-Amesema Allah Ta3ala:
{قُلْ لِلَّهِ الشَّفَاعَةُ جَمِيعًا لَهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ثُمَّ إِلَيْهِ تُرْجَعُونَ} صدق الله العظيم [الزمر:44].
Allah Ta3ala Asema:{Sema shafa3a ni ya Allah yote ni yake ufalme wa mbingu na ardhi alafu kwake mutarudi}sadaqa Allah Al3adhim[Alzumuru:44]

Suali 11-Je iko katika sunna ya bayan katika mahadithi Alnabawi za haki ambao itazidisha hio bayana na kuzidisha kufafanuwa kwa ummah kutoka kwa Muhammad mtune wa Allah-sala Allah aleyhi wa alihi wasalam-yule ambao akibainisha kwa watu Alkitab kwa haki?


Jibu 11-Amesema mtume wa Allah Muhammad-sala Allahu aleyhi wa alihi wasalam-katika sahih muslim kutoka kwa Aisha amesema:[pindi ilipo shuka(وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ}(uwaonye kabila lako na wakaribu kwako) Akasmama mtume wa Allah sala Allah Aleyhi wa alihi wa salam kwa kilima cha safaa akasema: ya fatima binti Muhammad! ya safia binti Abdulmutalib! enye watoto wa Abdulmutwalib! Similiki kuwafanyia mbele ya Allah kitu niulizeni mali yangu ile mwatakao] katika sahih muslim na sunan alnisai na masnad Ahmad na tamko la kwanza kutoka kwa Abu hurera amesemaindi ilipo shuka aya hi:
{وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ}،(Na uwaonye kabila lako na watu wako wakaribu)Ameita mtume wa Allah s.a.w.maqureshi wakakusanyika akazungumza akajumlisha mazungumzo akakhususisha Akasem:[Enye wana wa ka3b ibnu luei! okoweni nafsi zenu kutoka kwa moto, enye wana wa mura ibnu ka3b! okoweni nafsi zenu na moto, enye wana wa hashim! okoweni nafsi zenu na moto, enye wana wa Abdulmutwalib! okoweni nafsi zenu na moto, ewe fatima! jiokowe nafsi yako na moto, hakika mimi similiki kuwasaidia na chochote kutoka na Allah ila ispokuwa muko na rehma nitabluha balaha]

Amesema mtume wa Allah s.a.w.Pindi alipo teremsha Allah ju yake
وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ} (Na uwaonye kabila lako na watu wako wa karibu)enye maqureshi!Nunuweni nafsi zenu kwa Allah sina uwezo wakuwasaidia mbele ya mola wenu kitu,enye wana wa Abdulmutalib sina uwezo kuwasaidia na kitu mbele ya Allah,ewe Abas mwana wa Abdulmutwalib!sina uwezo kuwasaidia mbele ya Allah kitu,ewe safia shangazi yake mtume wa Allah!sina uwezo wakuwasaidia mbele ya Allah,ewe fatima mwana wa mtume wa Allah!niulize chochote watakacho sina uwezo wakukusaidia mbele ya Allah kwa chochote].

Katika tafsir ya Alsiuti kutoka kwa ibnu Abas-Amesema:Pindi ilipo shuka:{وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ}(Na uwaonye kabila yako na watu wako walio karibu) na wanao kufwata kati yao wenye ikhlas akatoka Nabi wa Allah s.a.w.mpaka akapanda ju ya kilima cha safa Akaita:eee asubuhi yake, wakasema:Na ninani huyu anapiga kelele? wakasema:Muhammad!wakakusanyika kwake,ikawa mtu hawezi kutoka anamtuma mtu akangalie ni kitu gani kimitokea,akaja abulahab na qureish yote, Akasema:[mwaonaje nikiwambia kuna wapiganaji nyuma ya jabali wataka kuwavamia mungeniamini?Wakasema:Ndio,hatujakuona wewe ila ni mkweli,Akasema:[hakika mimi nimonyaji kwenu mbele ya adhabu mbaya sana].,akasema abulahab:taban lak siku mzima kwajili ya haya ndio unatuita? Ikashuka:تَبَّتْ يَدَا أَبِي لَهَبٍ}.Tabat yada abi lahab]

Na katika masnad Ahmad na sahih muslim na tafsir-Altabari na Alsouti kutoka kwa othman Alnahdi,kutoka kwa qabisa ibnu mkhareq na zuheir ibnu omar akasemaindi imeshuka ju ya mtume wa Allah s.a.w.
وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ}

(Na uwaonye kabila lako na watu wako wa karibu)
akaenda mbio mtume wa Allah s.a.w.kwenye jiwe katika jabali akapanda ju kabisa, alafu akaita Ama amesema:[enye Al abdumanaf hakika mimi ni mo'onyaji, hakika mfano wangu na nyinyi ni kama mfano wa mtu amiona aduwi akawa anawakimbilia watu wake na anaita, ama amesema: apiga kelele yasabahaa].


Kutoka kwa Albarra amesema: pindi ilipo teremka ju ya mtume S.A.w.
وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ}(na uwaonye kabila lako na watu wako walio karibu)
amepanda Alnabi (s.a.w.) katika kilima ya jabali akaita;ya sabahaa,wakakusanyika,akawahadhirisha akawaonya akasema:[similiki kwa Allah ju yenu kitu,ewe Fatima binti Muhammad jiokowe nafsiyako na moto,hakika mimi similiki ju yako kwa Allah kitu].

ــــــــــــــــــــ

Kwahio kwanini enye ummah wa kislamu munawacha ma aya zilio bainika almu7hakamat nazo ni katika mama ya kitabu kwa fatwa ya kukanusha maobelezi kwa waja mbele ya mikono ya Mola Anae abudiwa ukanushi ulio kata kata wakabisa tangu mwanzo alafu munafata aya zilio fanana kuhusiana na shafa3a ambazo hamujapata siri yake ilmu? Na je kuna zaigh ndani ya moyo zenu kwa haki ilio baini wazi kutokana na ma aya nazo ni ummu Alkitab mukaziweka nyuma ya migongo yenu kama kwamba hamuzijuwi na mwafata ambazo zimefanana kwa utajo wa shafa3a? Na mwenye kufanya hivo basi kwa moyo wake kuna zaigh kutokana na haki Akasema Allah Ta3ala:
{هُوَ الَّذِي أَنْزَلَ عَلَيْكَ الْكِتَابَ مِنْهُ آيَاتٌ مُحْكَمَاتٌ هُنَّ أُمُّ الْكِتَابِ وَأُخَرُ مُتَشَابِهَاتٌ فَأَمَّا الَّذِينَ فِي قُلُوبِهِمْ زَيْغٌ فَيَتَّبِعُونَ مَا تَشَابَهَ مِنْهُ ابْتِغَاءَ الْفِتْنَةِ وَابْتِغَاءَ تَأْوِيلِهِ وَمَا يَعْلَمُ تَأْوِيلَهُ إِلَّا اللَّهُ وَالرَّاسِخُونَ فِي الْعِلْمِ يَقُولُونَ آمَنَّا بِهِ كُلٌّ مِنْ عِنْدِ رَبِّنَا وَمَا يَذَّكَّرُ إِلَّا أُوْلُوا الأَلْبَابِ} صدق الله العظيم [آل عمران:7]،
Allah Ta3ala Asema:{yeye ndio ambae ameteremsha kwako kitabu ndani yake aya zilio mu7hakamat zilio wazi nazo ni umm Alkitab na zingine zimefanana na Ama wale ambao ndani ya moyo wao zaigh wanafwata yale yalo fanana kutaka kwao fitna na kutaka kuifasiri na hakuna ajuwae kufifasiri ispokuwa ALLAH na waliozama katika ilmu wanasema tumiamini yote ni kutoka kwa mola wetu na hatokumbuka ila mwenye akili}sadaqa Allah Al3adhim[Al3mran:7],Hivi hamujuwi yule mwenye kuikataa fatwa katika aya za immi Alkitab zilo bainika wazi kwa mwanachuoni wenu na jahili wenu basi yeye ni katika mafasiki Akasema Allah Ta3ala:
{وَلَقَدْ أَنزَلْنَا إِلَيْكَ آيَاتٍ بَيِّنَاتٍ وَمَا يَكْفُرُ بِهَا إِلاَّ الْفَاسِقُونَ} صدق الله العظيم [البقرة:99].
Allah Ta3ala Aaema:{Na hakika tumiteremsha kwako aya ziko wazi na hatokufuru nazo ila mafasiki}sadaqa Allah Al3adhim[Albaqra:99]

Na labda anataka moja kati ya wanazuoni wa ummah kumkatiza Alimam Almahdi akasema:"hivi hutupi fatwa vipi yafanyika shafa3a katika Ayat zilio fanana kwakuwa inakuja ndani yake utajo ya shafa3a sio moja kwa moja bali haikufafanuliwa,kitu tumifahamu ndani yake kuwa Allah atampa idhni mja wake azungumze na mola wake lakini hatujuwi namna gani yule mjaa atazungumza na mola wake,Akasema Allah Ta3ala:
{وَكَم مِّن مَّلَكٍ فِي السَّمَاوَاتِ لا تُغْنِي شَفَاعَتُهُمْ شَيْئًا إِلاَّ مِن بَعْدِ أَن يَأْذَنَ اللَّهُ لِمَن يَشَاء وَيَرْضَى} صدق الله العظيم [النجم:26]"
Allah Ta3ala Asema:{Na wangapi malaika katika mbingu haitowasaidia shafa3a yao kitu ila bada ampe Allah idhini kwa anae mtaka ndio ataridhika}sadaqa Allah Al3adhim[Alnajm:26]
Na Alafu anamrudishia jibu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani na nasema:hakika wewe unafahamu kutoka na hio kuwa yule ali pewa idhni ya kuzungumza na mola wake kwa siri ya shafa3a hakika hutampata anazungumza na mola wake na kusubutu atake kushufa3ia waja wake mbele ya mikono yake bali alikuwa anamhoji mola wake kuwa aridhike ndani ya nafsi yake,kwajili ya hivo Alisema Allah Ta3ala:
{إِلاَّ مِن بَعْدِ أَن يَأْذَنَ اللَّهُ لِمَن يَشَاء وَيَرْضَى} صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Amesema:{ila ba'ada atowe idhni Allah kwa amtakae ndio ataridhika:}sadaq Allahu Al3adhim,Na kutoka hapo utajuwa kuwa yule mja akihojiana na mola wake kuhusu amtimizie Alna3im Ala3dham na3im kuu kuliko na3im janat Alna3im ndio aridhike,kwajili anachukuwa ridhwan za Allah ni malengo wala sio njia ili amwingize pepo yake;bali anataka kwa mola wake aridhike ndani ya nafsi yake,Na hatokuwa Allah ameridhika ndani ya nafsi yake mpaka awaingize waja wake kwa rehma yake,ndio atampa idhni yule mja wake na wao waingie pepo yake,Na kwakuwa ajuwa yule mja kuwa hakika Allah ndio mwenye huruma zaidi kwa waja wake kuliko waja wake na vipi atashufa3ia mbele ya mikono ya Allah Arhama Alrahimin?Na wala haitakiwe kwake hakika ni ya Allah shafa3a yote.Na pindi akiuliza yule mja kwa mola wake ipatikane Alna3im Ala3dham kuliko na3im ya pepo yake na amijiharimishe na na3im ya pepo yake ikiwa haitopatikana Alna3im Ala3dham ndani yake,Na pindi Allah akiridhika ndani ya nafsi yake ju ya waja wake watasikia watu mwito wa Allah kwa mja wake kwa bishara kwakuridhika mja wake kabla kutaja ridhwan ya nafsi yake Alietukuka,kwakuwa Allah anajuwa kuwa mja wake hatoridhika mpaka aridhike mola wake ndani ya nafsi yake,Na bayana ya haki kwa kauli yake Ta3ala Akisema { رَاضِيَةً }(imeridhika)
kwamana Allah ameridhika ndani ya nafsi yake kwa waja wake kwakuwa ridha za yule mja zimiambatana kwa ridha za mola wake kwenye nafsi yake,Allah Ta3ala Asema:

{يَا أَيَّتُهَا النَّفْسُ الْمُطْمَئِنَّةُ ﴿27﴾ ارْجِعِي إِلَىٰ رَبِّكِ رَاضِيَةً مَّرْضِيَّةً ﴿28﴾فَادْخُلِي فِي عِبَادِي ﴿29﴾ وَادْخُلِي جَنَّتِي ﴿30﴾} صدق الله العظيم [الفجر].
Allah Ta3ala Asema:{ewe nafsi ilio tulia mtumaini(27)Rudi kwa mola wako"radhiatan mardhia"(28)Na uwingie katika waja wangu(29)Na uwingie pepoyangu(30)}sadaqa Allah Al3adhim[Alfajr]

Na hapa kusikiza Amri ya Allah kwa mja wake kuwa amwingize yeye na waja wake pepo yake!Na hapa ndio mshangao mkubwa sana kwajili hawakuamini je Alah anawachezea shere anawafanyia istihizai ama ni idhini kwa haki kuwa waingie pepo yake?Na Alafu wanawarudishia majibu zumra kipoti cha yule mja wale wanao juwa kwa Uhakika wa jina la Allah Ala'a3dham Ism Allah Ala'a3dham vile alio wafundisha kwa hio yule mja kabla kutoka mwanzo ndio kwajili ya hivo wamirudisha jibu kwa waulizaji
قَالُوا الحقّ وَهُوَ الْعَلِيُّ الْكَبِيرُ} [سبأ:23]،
Allah Ta3ala Asema:{wamesema Alhak na yeye mwenye urefu alie mkubwa} [Sabaa:23;,Na hakuwafanyia istihzai ametukuka na nani yule ambae ni mwenye huruma zaidi kwenu kuliko Allah mwenye urefu alie mkubwa?

Na ikaoneka kwa waulizaji kuhusu shafa3a hakika kuwa sio kwa watu wote waja mbele ya mikono ya mola mwenye kuabudiwa kuwa ashufa3ie waja wake mbele ya mikono yake ametukuka lakini wao sio wenye huruma zaidi kuliko Allah arhama Alrahimin,ispokuwa yule mja alie pewa idhini azungumze na molawao alikuwa akimhoji mola wake ili ipatikane kumtimiza Alna3im Ala3dham,Na ilitimu kudhihirishia Na3im zote za ufalme wa malakut yote ila anakata mpaka ipatikane katika hio yote Alna3im Ala3dham katika hizo viti vote ndiopo limiwashangaza wote viyumbe kutoka malaika na majini na watu wote mwislamu wao na kafiri wao wanasema ndani ya nafsi za"subhana Allah na ni na3im ipi ndio kubwa zaidi kuliko hi alio mpa Allah huyu mja wake aridhike na akata mpaka Allah ampe apate Alna3im Ala3dham kuliko malakut yote!"ikawaingia mshagao kwa malaika wa Alrahman waliyoko karibu wakasema ndani ya nafsi zao"Na hatujajuwa kama kuna na3im kubwa zaidi katika vitu alivoviumba Allah kuliko ile na3im alio pewa yule mja na mola wake",Wakadhani mawali wote wa Allah dhana mbaya kwa yule mja wakasema ndani ya nafsi zao na nini bada Allah kumpa huyu mja bada kupewa na3im ya ufalme wa malakut yote ya Allah katika kitabu alafu anakata ila ipatikane Alna3im
Alakbar kuliko zote hizo na kwani bada ya kukirimiwa huyo mja kote huko alafu bado anakata ila kuwa anataka kuwa yeye ndio Mungu?Lakini zumra kipoti cha yule mja wanacheka na kubashiriana kwa kupatikana Alna3im Ala3dham kwakuwa wanajuwa Alhaq kutoka kwa mola wao kuwa hakika Alna3im Ala3adham kati ya hizo zote ni ridhwan ya Allah kwa nafsi yake kwakuwa wanajuwa hio ndio jina la Allah kuu ismAllah Ala3dham ambao hakuna alio lijuwa ila yule mja katika kitabu na yeye ndio alio wafundisha kwa uhakika wa jina la Allah kuu ismAllah Ala3dham,Na pindi pale mazungumzo yanaendelea kwa yule mja kwa mola wake na kupewa ufalme wote na yeye akataa wale kipoti zumra cha yule mja wanacheka na kubashiri kwa kupatikana Alna3im Ala3dham kuliko na3im ya malakut ya Allah yote,Na ama sababu ya kucheka kwao ni kuwa ile mshangao mkubwa ulio onekana katika uso za mitume na manabi na masahaba na waja wema na malaika wote wa Allah walio karibu kwakuwa wanaona ajabu ya ma'ajabu!kwakuwa wao wanajuwa kuwa Allah amiandika ju ya nafsi yake kuwa hakika atawaridhisha waja wake kusadikisha kauli ya Allah:
{رَّضِيَ اللّهُ عَنْهُمْ وَرَضُواْ عَنْهُ} [المائدة:119]،
Allah Ta3ala asema:{amiridhika Allah ju yao na wakaridhika ju yake}[Almaida:119],lakini yule mja japo kuwa Allah ameridhika na yeye lakini yule mja hajaridhika kwasababu hajafanya ridhwan za Allah ni njia yakupatikana" Alna3im Alasghar" na3im ndogo,bali amifanya ridhwan ya Allah ni lengo na matakwa yake na hatoridhika mpaka aletewe"Alna3im Ala3dham"Alna3im Kuu kwajili ya hivo ndio Allah akampa ufalme wa malakut yote na akamjalia khalifa wake bada yake kwa ufale wa malakut wote wa Allah na pepo upana wake mbingu na ardhi mpaka haikubaki katika ufalme wa malakut wa Allah ila amimpa ukhilafa na bado anazidi kukataa yule mja na kukita kwa ombi lake lile lile apewe Alna3im Ala3dham kuliko hizo zote,alafu Allah ana mpitisha awe na amri yake neno lake "kun fayakun" kuwa na linakuwa awe akitaka kitu asema kuwa na linakuwa kwa kudra wa uwezo kabisa lakini yule mja anazidi kukita na kukataa ila apatiwe Alna3im Ala3dham,mpaka mshangao mkubwa umiwaja wote mitume na manabi na mashuhada na waja wema mpaka malaika wa Alrahman walio karibu kwa kukita kwake huyu mja vikubwa mno haikumfitini kwa yale anao taka mbele ya ufalme wa malkut wote,alafu Allah anampa anamwezesha apate amri ya kuwa na kina kuwa aumbe anacho taka katika na3im kwa amri Yake Allah na uwezo wake na yeye anamjibu mola wake kwa kilio na sauti ya kilio na anataka ampatie Alna3im Ala3dham kuliko yote hayo kwa yale yaliyoko na yasokuweko ndio yaliwaingia mshamgao malaika wa Allah walio karibu kiyasi kuwa wanataka kujuwa siri na hi kitandawil kilio wafanya watu wote washangae viumbe vote va Allah washangae wa kwanza na wa mwisho na asabiqina na as'hab alyamin na as'hab alshimal ila kidogo katika walio karibu wamwisho wanaocheka wanao bashiria kupatikana Alna3im Ala3dham kuliko Alna3im ya pepo ya Mola wao na wao kwa haya ni katika mashahidi na wao ndio waliwajibu wale wanao uliza wale ambao imitoka uwoga ndani ya moyo wao pindi walipo sikia amri imikuja kutoka kwa mola wao moja kwa moja kwa ile nafsi iridhike na ingie kwa waja wake na waingie pepo yake,alafu wakasema wale walio dhani kuwa wataingia moto wa jahanam kwa wale zumra kipoti cha yule mja:
قَالُوا مَاذَا قَالَ ربّكم قَالُوا الحقّ وَهُوَ الْعَلِيُّ الْكَبِيرُ} [سبأ:23].
Allah Ta3ala asema:{wakasema nini amesema mola wenu wakasema Alhaq na yeye ni mwenye urefu alie mkubwa}[Sabaa:23]

Na ikapatikana Alna3im Ala3dham, Na hio ndio siri ya jina la Allah Ala3dham kuu amifanya Allah ni sifa ya rodhwan ya nafsi yake kwa waja wake ndio wanona kuwa hio ndio Alna3im Alakbar na3im kubwa kuliko na3im ya jana yake pepo yake,kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{وعدَ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ وَرِضْوَانٌ مِنَ اللَّهِ أَكْبَرُ ذَلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ} صدق الله العظيم [التوبه:72].
Allah Ta3ala Asema:{amiwahidi Allah waumini wakiume na waumini wa kike pepo inatembea chini yake mito milele ndani yake na manyumba zilio mzuri katika pepo ya adan na ridhwan kutoka kwa Allah ni kubwa hio ndio ushindi mkubwa}sadaqa Allah Al3adhim[Altauba:72]

Na katika hio siri ya hikma kwa viumbe kuabudu na3im ridhwan Ya mola wao ju yao na hakuwaumba kwajili ya huru Alain na pepo ana3im na hakuwaumba ili awafanye ni katika wakuadhibiwa;bali amiwaumba waja wake wote ili wabudu na3im ridhwan nafsi ya mola wao ju ya nafsi zao watapat ndio hio Alna3imAla3dham kuliko na3im ya malakut yote na kwajli ya hivo ndio aliwaumba kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ وماخَلَقْتُ الجنّ وَالْإِنْسَ إِلَّا ليعبدون} صدق الله العظيم [الذاريات:56].
Allah Ta3ala Asma:{Na sikuwaumba majini na watu ila waniabudu}sadaqa Allah Al3adhim[Aldhariyat:56]

Na salam ju ya Mitume,wa Alhamdulillah Rabi Al3alamin..Ndugu yenu mja wa Alna3im Ala3dham Alimam Almahdi: Nasser Muhammad Alyamani.

وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله رب العالمين..
أخوكم عبد النّعيم الأعظم الإمام المهدي؛ ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــــــ
Kifurushi Cha Bayana
https://alyamani.me/showthread.php?2145