[ لمتابعة رابط المشاركـــــــــــة الأصليِّة للبيـــــــــــــــان ]
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
28 - 09 - 1433 هـ
16 - 08 - 2012 مـ
07:55 صباحاً
ـــــــــــــــــــ

نعيم الروح النفسي يمدُّ الله به حزبَه وهم لا يزالون في الحياة الدنيا
{ وَأَيَّدَهُمْ بِرُوحٍ مِنْهُ وَيُدْخِلُهُمْ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الأَنْهَارُ }

Na3im Ya Roho Ya Kinafsi Ana'Wanyoshea Allah Nayo Hizbu Yake Na Wao Bado Wako Katika Maisha Ya Dunia
وَأَيَّدَهُمْ بِرُوحٍ مِنْهُ وَيُدْخِلُهُمْ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الأَنْهَارُ }

[Akawapa Mkono Kwa Roho Kutoka Kwake Na Atawaingiza Ma Bustani Yanapita Chini Yake Mito}

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim,Na Sala Na Salam Ju Ya Ma'Nabi Wote Wa Allah Na Mitume Wake Na Ahli Yao Na Waislamu Wote Mpaka Siku Ya Dini,Ama Ba'Ada Ya Hapo..

Na Ewe Mwenye Kukanusha Kwa Na3im Ridhwan Allah Ju Ya Waja Wake,Hakika Wewe Huja'Kadhibisha Fatwa Ya Al'Imam Al'Mahdi Kwa Waumini Kuwa Wao Watapata Ridhwan Allah Kwao Ndio Na3im Kubwa Kuliko Bustani zake ! Bali Ume'Kadhibisha Fatwa Ya Allah Kwa Waja Wake Wema Katika Muhkam Kitabu Chake Kuwa Watapata Ridhwan Allah Ju Ya Waja Wake Nayo Ndio"Al'Na3im Al'A3dham" Neema Kuu Kuliko Bustani Yake Yani Na3im Kubwa Kuliko Pepo,Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَعَدَ اللّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ وَرِضْوَانٌ مِّنَ اللّهِ أَكْبَرُ ذَلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ (72)} صدق الله العظيم [التوبة].
Allah Ta3ala Assma:{Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa} Sasaqa Allah Al3adhim[Altawuba:72].

Na Wewe Huja'Kadhibisha Kwa Fatwa Ya Al'Imam Al'Mahdi Bali Umekanusha Kwa Aya Muhakama imebainika Katika Muhakam Al'Quran Al3adhim Fatwa Ya Allah Kwa Waja Wake Wale Ambao Wamefwata Ridhwan Ya Mola Wao Mlezi Kuwa Wao Watapata"Al'Na3im Al'A3dham" Neema Kuu Kuliko Bustani Yake Nayo Ni Ridhwan Allah Ju Ya Waja Wake,Kusadikisha Kauli Ya Allah Katika Muhkam Ya Kitabu Chake:
{وَعَدَ اللّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ وَرِضْوَانٌ مِّنَ اللّهِ أَكْبَرُ ذَلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ (72)} صدق الله العظيم [التوبة].
Allah Ta3ala Assma:{Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa}Sadaqa Allah Al3adhim[Altawuba:72].

Na Afahamu Hio Fatwa Katika Muhkam Kitabu Allah Wanazuoni Wa Umma Na Waislamu Wote Kuwa Neema Kubwa Kuliko Bustani Nayo Ni Na3im Ridhwan Ya Allah Ju Ya Waja Wake Kusadikisha Fatwa Ya Allah Katika Kitabu Chake:Hakika Ya Neema Kubwa Kuliko Bustani Yake Ni Ridhwani Allah Ju Ya Waja Wake,Na Wala Hakusema Al'Imam Al'Mahdi Ktoka Kwake Bali Allah Ndio Mwenye Kuwapa Fatwa Kwa Hayo,Kusadikishs Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَعَدَ اللّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ وَرِضْوَانٌ مِّنَ اللّهِ أَكْبَرُ ذَلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ (72)} صدق الله العظيم [التوبة].
Allah Ta3ala Assma:{Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa}Sadaqa Allah Al3adhim[Altawuba:72].

Kwa Hivo Wewe Hujamkadhibisha Al'Imam Almahdi Bali Umikanusha Fatwa Ya Allah Katika Muhkam Kitabu Chake,Akasema Allah Ta3ala:
{قَدْ نَعْلَمُ إِنَّهُ لَيَحْزُنُكَ الَّذِي يَقُولُونَ فَإِنَّهُمْ لا يُكَذِّبُونَكَ وَلَكِنَّ الظَّالِمِينَ بِآيَاتِ اللَّهِ يَجْحَدُونَ} صدق الله العظيم[الأنعام:33].
Allah Ta3ala Asema:{Tunajua ya kwamba yanakuhuzunisha wanayo yasema. Basi hakika wao hawakukanushi wewe, lakini hao madhaalimu wanazikataa Ishara za Mwenyezi Mungu}Sadaqa Allah Al3adhim[Alanaam:33].

Na Hio Sio Na3im Madi Material Bali Ru7h Na Reyihan Ridhwan Allah Ju Ya Waja Wake,Na Hivo Pia Atawaingiza Bustani Al'Na3im.Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَأَمَّا إِن كَانَ مِنَ الْمُقَرَّبِينَ (88) فَرَوْحٌ وَرَيْحَانٌ وَجَنَّةُ نَعِيمٍ (89)} صدق الله العظيم [الواقعة].
Allah Ta3ala Asema:{Basi akiwa miongoni mwa walio karibishwa(88)Basi ni Ru7h, na manukato, na Bustani zenye neema(89)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alwaqiaa].

Na Suali Ambalo Lajitokeza Lenyewe:Na Je Na3im Ya Ru7h Alnafsi Anai'Nyoshea Allah Kwa Hizbu Yake Na Wao Bado Wanaendelea Kuishi Duniyani Ama Hawahisi Kwa hio Ila Katika Akhira ?Na Jibu Mutalipata Katika Muhakam Alkitab Katika Kauli Yake Allah Ta3ala:
{لا تَجِدُ قَوْمًا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الآخِرِ يُوَادُّونَ مَنْ حَادَّ اللَّهَ وَرَسُولَهُ وَلَوْ كَانُوا آبَاءَهُمْ أَوْ أَبْنَاءَهُمْ أَوْ إِخْوَانَهُمْ أَوْ عَشِيرَتَهُمْ أُوْلَئِكَ كَتَبَ فِي قُلُوبِهِمُ الإِيمَانَ وَأَيَّدَهُمْ بِرُوحٍ مِنْهُ وَيُدْخِلُهُمْ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمْ وَرَضُوا عَنْهُ أُوْلَئِكَ حِزْبُ اللَّهِ أَلا إِنَّ حِزْبَ اللَّهِ هُمُ الْمُفْلِحُونَ} صدق الله العظيم [المجادلة:22].
Allah Ta3ala Asema:{Huwakuti watu wanao muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho kuwa wanawapenda wanao mpinga Mwenyezi Mungu na Mtume wake, hata wakiwa ni baba zao, au watoto wao, au ndugu zao, au jamaa zao. Hao ameandika katika nyoyo zao Imani, na amewapa nguvu kwa Roho itokayo kwake. Na atawaingiza katika Mabustani yapitayo mito kati yake. Humo watakaa daima. Mwenyezi Mungu awe radhi nao, na wao wawe radhi naye. Hao ndio Hizbullahi, Kundi la Mwenyezi Mungu. Hakika Kundi la Mwenyezi Mungu ndilo lenye kufanikiwa} Sadaqa Allah Al3adhim:[Almujadala:22].

Lakini Na3im Ridhwan Ya Mola Mlezi Ndio Na3im Ya Kinafsi Katika Moyo Anaituliza Allah Nayo Kwa Kifuwa Cha Kundi Lake Na Anatengeneza Allah Kwa Ridhwan yake Hali Yake, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَالَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ وَآمَنُوا بِمَا نُزِّلَ عَلَى مُحَمَّدٍ وَهُوَ الْحَقُّ مِن رَّبِّهِمْ كَفَّرَ عَنْهُمْ سَيِّئَاتِهِمْ وَأَصْلَحَ بَالَهُمْ} صدق الله العظيم [محمد:2].
Allah Ta3ala Sema {Na walio amini, na wakatenda mema, na wakaamini aliyo teremshiwa Muhammad - nayo ni Haki iliyo toka kwa Mola wao Mlezi - atawafutia makosa yao na ataitengeneza hali yao} Sasaqa Allah Al3Dhin[Muhamad:2].

Na Wao Ndio Walio Fwata Ridhwani Yake,Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَانقَلَبُواْ بِنِعْمَةٍ مِّنَ اللّهِ وَفَضْلٍ لَّمْ يَمْسَسْهُمْ سُوءٌ وَاتَّبَعُواْ رِضْوَانَ اللّهِ وَاللّهُ ذُو فَضْلٍ عَظِيمٍ} صدق الله العظيم [آل عمران:174].
Allah Ta3ala Asema:{Basi wakarudi na neema na fadhila za Mwenyezi Mungu. Hapana baya lilio wagusa, na wakafuata ridhwan Ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye fadhila kuu}Sadaqa Allah Al3adhim[Alimran:174]

Na Ama Wale Wamichukia Ridhwan Allah Basi Wao Kinyume,Wakapata Kuchukiwa Na Allah.Akasema Allah Ta3ala:
{إِنَّ الَّذِينَ ارْ‌تَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِ‌هِم مِّن بَعْدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُمُ الْهُدَى ۙ الشَّيْطَانُ سَوَّلَ لَهُمْ وَأَمْلَىٰ لَهُمْ ﴿25﴾ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ قَالُوا لِلَّذِينَ كَرِ‌هُوا مَا نَزَّلَ اللَّـهُ سَنُطِيعُكُمْ فِي بَعْضِ الْأَمْرِ‌ ۖ وَاللَّـهُ يَعْلَمُ إِسْرَ‌ارَ‌هُمْ ﴿26﴾ فَكَيْفَ إِذَا تَوَفَّتْهُمُ الْمَلَائِكَةُ يَضْرِ‌بُونَ وُجُوهَهُمْ وَأَدْبَارَ‌هُمْ ﴿27﴾ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمُ اتَّبَعُوا مَا أَسْخَطَ اللَّـهَ وَكَرِ‌هُوا رِ‌ضْوَانَهُ فَأَحْبَطَ أَعْمَالَهُمْ﴿28﴾} صدق الله العظيم [محمد].
Allah Ta3ala Asema:{Kwa hakika wanao rudi nyuma baada ya kwisha wabainikia uwongofu, Shetani huyo amewashawishi na amewaghuri(25)Hayo ni kwa sababu waliwaambia walio chukia aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu: Tutakut'iini katika baadhi ya mambo. Na Mwenyezi Mungu anajua siri zao(26)Basi itakuwaje Malaika watakapo wafisha wakawa wanawapiga nyuso zao na migongo yao(27)Hayo ni kwa sababu wao waliyafuata yaliyo mchukiza Mwenyezi Mungu na wakachukia yanayo mridhisha, basi akaviangusha vitendo vyao(28)} Sadaqa Allah Al3adhim[Muhammad].

Basi Usiwe Katika Wale Allah Alisema Ju Yao:

إِنَّ الَّذِينَ ارْ‌تَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِ‌هِم مِّن بَعْدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُمُ الْهُدَى ۙ الشَّيْطَانُ سَوَّلَ لَهُمْ وَأَمْلَىٰ لَهُمْ ﴿25﴾}
صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{Kwa hakika wanao rudi nyuma baada ya kwisha wabainikia uwongofu, Shetani huyo amewashawishi na amewaghuri(25)} Sadaqa Allah Al3adhim.Ala Wallah Ambae Hapana Mola Ila Yeye Mwenye Kurudi Kwa Haki Nyuma Bada Imebaini Kwake Uwongofu Hatohisi Sakina Wala Utulivu Na Ataishi Maisha Ya Dhiki, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمَنْ أَعْرَضَ عَنْ ذِكْرِي فَإِنَّ لَهُ مَعِيشَةً ضَنْكًا وَنَحْشُرُهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ أَعْمَى} صدق الله العظيم [طه:124].
Allah Ta3ala Asema:{Na atakaye jiepusha na mawaidha yangu, basi kwa yakini atapata maisha yenye dhiki, na Siku ya Kiyama tutamfufua hali ya kuwa kipofu}Sadaqa Allah Al3adhim[Twaha:124]

Na Ataifanya Allah Kifuwa Chake dhiki Kimebana, Kusadikisha Kauli Ya Alah Ta3ala:
{فَمَن يُرِدِ اللَّهُ أَن يَهْدِيَهُ يَشْرَحْ صَدْرَهُ لِلإِسْلامِ وَمَن يُرِدْ أَن يُضِلَّهُ يَجْعَلْ صَدْرَهُ ضَيِّقًا حَرَجًا كَأَنَّمَا يَصَّعَّدُ في السَّمَآءِ كَذَلِكَ يَجْعَلُ اللَّهُ الرِّجْسَ عَلَى الَّذِينَ لا يُؤْمِنُونَ} صدق الله العظيم [الأنعام:125].
Allah Ta3ala Asema:{Basi yule ambaye Mwenyezi Mungu anataka kumhidi humfungulia kifua chake kwa Uislamu. Na anaye taka apotee hukifanya kifua chake kina dhiki, kimebana, kama kwamba anapanda mbinguni. Namna hivi Mwenyezi Mungu anajaalia uchafu juu ya wasio amini} Sadaqa Allah Al3adhim[Alanaam:125].

Na Yule Ambae Hatojuwa Kadar Ya Mola Wake Mlezi Katika Duniya Basi Hatojuwa Kadra Ya Mola Wake Mlezi Akhera,Kwakuwa Hakujuwa Uhakika Wa Ridhwan Yake Mola Mlezi katika Moyo Na Yeye Bado Yuko Katika Maisha Ya Dunia,Kusadikisha Kaili Ya Allah Ta3ala:
{وَمَنْ كَانَ فِي هَذِهِ أَعْمَى فَهُوَ فِي الآخِرَةِ أَعْمَى وَأَضَلُّ سَبِيلاً} صدق الله العظيم [الإسراء:72].
allah Ta3ala Asema:{Na aliye kuwa hapa kipofu, basi atakuwa kipofu Akhera, na atakuwa aliye ipotea zaidi Njia} Sadaqa Allah Al3adhim[Alisra:72].

Na Ewe Yule Unae Kanusha kwa Na3im Ridhwan Ya Mola Mlezi katika Moyo, Natowa Qasam Billah Al3adhim Hutohisi Kwa Sakina Na Utulivu Ba'Ada Ya Leo Mpaka Aridhike Allah Ju Yako, Na Wala Hatoridhika Allah Ju Yako Mpaka Utubu Na Ufwate Haki Kutoka Mola Wako Mlezi, Basi Nini Ba'Ada Ya Haki Ispokuwa Ni Upotevu,
Allahuma Nimefikisha Allahuma Shuhudiya.

Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin...
Mja Wa Allah Na Khalifa Wake, Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
ــــــــــــــــــــ
Kifurushi Cha Bayana
Read more: [COLOR=#0000ff]https://alyamani.me/showthread.php?t=8255]