الموضوع: Amerudisha Jibu Al'Imam Al'Mahdi Ju Ya Abdallah Mtafiti Wa Haki Katika Barua kwa binafsi, Na Haki Ni Haki Kwamba Tuifwate Basi Hatuna Kwetu Ma Siri Katika Kubainisha Haki..

النتائج 1 إلى 1 من 1
  1. افتراضي Amerudisha Jibu Al'Imam Al'Mahdi Ju Ya Abdallah Mtafiti Wa Haki Katika Barua kwa binafsi, Na Haki Ni Haki Kwamba Tuifwate Basi Hatuna Kwetu Ma Siri Katika Kubainisha Haki..

    Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
    *الإمام ناصر محمد اليماني*
    22 - محرم - 1440 هـ
    02 - 10 - 2018 مـ
    11:49 صباحاً
    ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
    https://alyamani.me/showthread.php?t=35978
    ـــــــــــــــــــــــ


    ردّ الإمام المهديّ على عبد الله الباحث عن الحقّ في رسالةٍ خاصةٍ، والحقّ أحقّ أن يتّبع فليس لدينا أسرار في تبيان الحقّ ..
    Amerudisha Jibu Al'Imam Al'Mahdi Ju Ya Abdallah Mtafiti Wa Haki Katika Barua kwa binafsi, Na Haki Ni Haki Kwamba Tuifwate Basi Hatuna Kwetu Ma Siri Katika Kubainisha Haki..

    اقتباس المشاركة :
    (Nukulu asili ya kushiriki imeandikwa kwa njia Ya Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani)
    Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Babu Yangu Muhammad Khatimu Wa Ma Nabi Na Mitume, Na Ewe Mpendwa Wangu kwajili ya Allah Hakika haki Ya Allah Ni Kubwa Kuliko Haki Yoyote, Na nini baada ya haki ispokua ni upotevu, Basi Hakuna atakae kushufaia, Wala usiombe kwa haki ya mja yoyote atakae kua katika uweko basi yeye ni mja wa Allah kama vile wewe ni mja wa Allah na una haki kwa Allah kama yoyote katika waja wake, Basi Kua Katika Wa Kushukuru ewe burudisho la macho, Na umombe Mola Mlezi wako Ametukuka kwa Majina Yake Mazuri Matakatifu Na Sifa Zake Za Ju, Na Tosha Allah Kua Wakili Basi Usiombe pamoja na Allah Yoyote wala usitawasuli kwa yoyote basi Yeye Ana Huruma kwako kuliko Babako Na Mamako na kuliko waja wake wote, Na Nakupenda Kwajili Ya Allah, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin.

    Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
    ________

    *(Nukulu Asili Ya Kushiriki imeandikwa Kwa Njia Ya Abdallah)*
    Nakushkuru kwa jibu Azizi katika Allah Nasser Muhammad, Hakika mimi najilazimu katika Swala zangu kwamba niswali ju ya Mchanga ya Ardhi, Na nikisujudu kwenye mchanga katika michanga ya Karbalaa Basi hakika mimi nafanya hivo kujilazimu kuweka kichwa changu kwenye ardhi ama kile kinacho mea kutoka kwa Ardhi kama mfano wa mkeka wala sisujudu katika miswala wa kuswalia kutegemea kwa ma hadithi zilio kubaliwa mutawatira kutoka kwa Muhammad na Ali yake; Basi nini hukmu ya kusujudu kwenye Msawla wa kuswali? Naju kwamba wewe umeweka Sharti fulani katika masharti Katika Ma Suali Ya Swala, Na ispokua mimi ni mja katika waja Wa Allah na ni mkaribu kwako kwa kizazi na hakika mimi naskia kwako harufu ya manukato mazuri mema na uwongofu kwenye Maelezo ya khutba zako, Na sitaki nikupe beyaa ispokua baada kumaliza kusoma Bayana zako ili niwe katika uwazi baini na yakini wakati nishamaliza kwa usaidizi Wa Allah kusoma zote ambao yaliokuja katika Bayana Ya Swala na zinginezo.

    Hakika Sera ya Nabi ( Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi ) ilikua kusujudu katika Ardhi - Mchanga- Ama kinacho mea ndani yake kama mkeka, Na alikua ( Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi ) Anahimiza wengine ju ya hayo, Na kama vile ilivo kua sera ya waislamu katika ahdi ya Mtume ( Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi ) ilikua sijda kwenye Ardhi ya msikiti ilio tandazwa na viji kokoto, Na ilikua waislamu wanajilazimu kusujudu ju ya vijikokoto katika msikiti pamoja ya uharara wake ndio inathibitisha dharura ya kusujudu ju ya Ardhi.

    Amesema Al'Imam Albaqer ( Ju Yake Salam ) Katika kujibu alio muliza kuhusu sijda ju ya lami:" Hapana na hapana ju ya nguo ya karsaf, wala ju ya sufi, Wala ju ya kitu kutokana na wanyama, wala ju ya chakula, wala ju ya kitu katika mbengu za Ardhi, Wala ju ya kitu kutokana na mbawa.

    Na akaulizwa Al'Imam Alsadik ( Ju yake salam) Kuhusu Swala Ju Ya mkeka ama nywele ama tanafis, Akasema:" Usisujudu ju yake, Na ikiwa unsimama ju yake na ukasujudu ju ya Ardhi basi hakuna neno, Na ikiwa umetandika ju yake mkeka na ukasujudu ju ya mkeka basi haina neno.
    Mulizaji ni mshia: 592/3

    Alikua moja katika ma swahaba anasujudu ju ya kilemba chake akaondosha Nabi ( Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi ) Kwa mkono wake kilemba chake kwa bapa lake. Sunan Albiheqi: 106/2
    Namomba Allah Anawirishe Nyoyo zetu na Afanye faraja imesmama kwa Al Muhammad na amlinde na mbinu za ma adui
    ___________
    *(imeisha Barua ya mtafiti na sasa Bayana Ya Haki na jibu la Al'Imam Al'Mahdi Ju Yake Salam)*
    انتهى الاقتباس


    Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Wa'man
    Walah Na Akafwa


    ta Njia Yake Ju Ya Basira Kujua Kutoka Kwa Allah..
    Na ewe burudisho la jicho hakika mimi napata Amri Ya Allah Katika pahala pa kusujudu Kwake Katika muhakam ilio wazi Maana yake Kitabu ni kutahirisha kitu ambao utasujidu ju yake kutokana na uchafu wa dhahiri vile unavo weza kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
    {وَإِذْ بَوَّأْنَا لِإِبْرَاهِيمَ مَكَانَ الْبَيْتِ أَن لَّا تُشْرِكْ بِي شَيْئًا وَطَهِّرْ بَيْتِيَ لِلطَّائِفِينَ وَالْقَائِمِينَ وَالرُّكَّعِ السُّجُودِ ﴿٢٦﴾} صدق الله العظيم [الحج].
    Allah Ta3ala Asema: {Na pale tulipomweka Ibrahim pahala penye ile Nyumba tukamwambia: Usinishirikishe na chochote; na isafishe Nyumba yangu kwa ajili ya wanao izunguka kwa kut'ufu, na wanao kaa hapo kwa ibada, na wanao rukuu, na wanao sujudu (26)} Sadaqa Allah Al3adhim, [Alhaj].

    ispokua "Twahara" "Kuwa safi" kutokana na Uchafu ili iwe safi nadhifu, Na hivo hivo kutahirisha nguo kutokana na uchafu wakati ukihisi kwamba ni chafu kwakuona ama kwa harufu ya najisi kusadikisha kauli Ya Allah Ta3ala:
    {{وَثِيَابَكَ فَطَهِّرْ ﴿٤﴾}} صدق الله العظيم [المدثر]،
    Allah Ta3ala Aasema:{ Na Nguo yako isafishe (4)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almudather], ispokua uwe katika safari basi Hakufanya Allah ju yenu katika dini uzito.

    Almuhim mimi nafadhilisha kusujudu ju ya kitu kiko kisafi kuonekana na uchafu na harufu ya najisi inao udhi sawa iwe ni mswala ama kilemba ama mchanga ama viji kokoto, Na Daima Harufu najisi inaudhi kuisikia kwake, Na hata kama najasa haiko dhahiri pahala pa kusujudu kwa kuona macho Basi hisia za kuskia harufu inakashifu harufu najisi.

    Na nakupa fatwa kwa haki kwamba inajuzu kwako kumsujudia Mola Mlezi wako ju ya kila kitu kiko twahara safi kutokana na uchafu na harufu mbaya inao onekana kua ni chafu kwa kuiangalia, Na ikiwa hukutanabahi ila wakati wa kusujudu ukanusa nusa kwamba pahala pa kusujudu ni najisi basi usivunje Swala, Basi hapo utashikanisha bapa za mikono yako miweili ukiwa wasujudi kwenye bapa, Na hivo ili usujudu kwamgongo wa vibapa va mikono yako miwili ilio safi, Na usisubutu ukusudie kudhihirisha alama ya kusujudu kwenye bapa ya uso wako kwa kusudi na kutaka kutoka kwako basi utaingia katika shirki ya riaa kwa kumshirikisha katika Swala kwa Mola Mlezi wako, Hakika shirki ni dhulma Kuu.

    Na wala usisujudu ju ya mchanga wa Banazangu Al'Imam Al'Husein ju yake Swala Na Salam itakavo kua ni safi imetahirika ule mchanga basi kwa sababu kuipa jina mchanga wa Al'Husein na hivo ni bidaa Hajawamuru Allah nayo wala Mtume Wake, Na lau ingekua mchanga bila ya kuipa jina basi hio si neno, Na Ama iwe inao jina (Mchanga wa Alhusein ) ndio usujudu katika mchanga wake basi hio ni shirki katika kusujudu bapa yako kwa Mola Mlezi wako ewe nurudisho la jicho, Na hata kama niya yako wasujudu ju ya mchanga tu kawaida basi utakua sababu katika kumshirikisha mwenzako mwengine kwakua yeye anakuona unasujudu ju ya mchanga wa Al'Husein.

    Na Ala kuli hali Tunakuruhusu peke katika hali ya dharura kuchelea mbinu ya wale hawamwamini Allah ispokua wao wanamshirikisha nae waja wake waliokurubishwa, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {مَن كَفَرَ بِاللَّـهِ مِن بَعْدِ إِيمَانِهِ إِلَّا مَنْ أُكْرِهَ وَقَلْبُهُ مُطْمَئِنٌّ بِالْإِيمَانِ وَلَـٰكِن مَّن شَرَحَ بِالْكُفْرِ صَدْرًا فَعَلَيْهِمْ غَضَبٌ مِّنَ اللَّـهِ وَلَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ ﴿١٠٦﴾} صدق الله العظيم [النحل].
    Allah Ta3ala Asema: { Atakae Kukufuru kwa Allah baada imani yake ispokua mwenye kulazimishwa na moyo wake umetumaini kwenye iman lakini atakae kufunguka kifua chake katika kufru basi ju yao ghadhabu kutoka kwa Allah na watapata wao adhabu kuu (106)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahli].

    Na kua katika wa kushukuru, Na ukufuru kwa Shafaa Ya Ma Nabi; Ma Nabi Wote, Na ujuwe shafaa ni ya Allah Yote; inakushufaia wewe rahma Yake kutokana na adhabu yake ikiwa hujakua umebilisika na rahma ya Allah Mwenye huruma Zaidi kuliko wenye huruma wote, Na utosheke kwa rahma ya yule ana huruma kwako kuliko wao wote Allah Arhama Arahimin, Na hio ni hoja yako ju ya Mola Mlezi wako La ilaha ispokua yeye kwamba Allah Ni Arhama Arahimin, Na je Atakanusha Allah Ametukuka Hoja yako ju yake kwamba Yeye N

    i Arhama Arahimin? Na Haitakiwi iwe katika uweko kua kuna mwenye huruma kuliko Allah Anae Abudiwa Arhama Arhahimin Mwenye huruma zaidi kuliko wenye huruma wote Ana huruma kwako kuliko Ma Nabi Na Ma Wali Na Watu Wema Wote Na Ana Hurum kwako Kuliko Mamako Na Babako Na Watu Wote, Lakini Kwa Maskitiko Hawamini Wengi wao Kwa Allah ila wao wanamshirikisha nae waja wake walio kurubishwa, Basi nifwate nikuongoe njia ilio nyoka njia Ya Mola Mlezi wangu na Mola wako Mlezi Allah Al3aziz Al'Hamid Kusadikisha Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {إِنَّ رَبِّي عَلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ﴿٥٦﴾} صدق الله العظيم [هود].
    Allah Ta3ala Asema: { Hakika Mola Mlezi Wangu Yuko Katika Njia ilio Nyoka (56)} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud].

    Na imekurubia Adhabu Ya Allah Kwa Wakanushaji Kwa Mlinganizi Wa Haki Kutoka Kwa Mola Mlezi Wao, Basi Ngojeni hakika na Mimi Nagoja pamoja na Nyinyi, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin ..

    Ndugu Yenu Al'Imam Nasser Muhannad Al'Yamani.
    أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
    ________


    اقتباس المشاركة 295832 من موضوع ردّ الإمام المهديّ على عبد الله الباحث عن الحقّ في رسالةٍ خاصةٍ، والحقّ أحقّ أن يتّبع فليس لدينا أسرار في تبيان الحقّ ..


    الإمام ناصر محمد اليماني
    22 - محرم - 1440 هـ
    02 - 10 - 2018 مـ
    11:49 صباحاً
    ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
    ــــــــــــــــــــــــ



    ردّ الإمام المهديّ على عبد الله الباحث عن الحقّ في رسالةٍ خاصةٍ
    والحقّ أحقّ أن يتّبع فليس لدينا أسرار في تبيان الحقّ ..


    اقتباس المشاركة : عبدالله الباحث
    اقتباس المشاركة : الإمام ناصر محمد اليماني
    بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على جدي محمد خاتم الأنبياء والمرسلين، ويا حبيبي في الله إنّ حق الله أكبر من أيّ حقٍّ، وماذا بعد الحق إلا الضلال، فلا شفيع، ولا تسأل بحقّ أيّ عبدٍ كائنٍ من كان في الوجود فهو عبدٌ لله كما أنت عبدٌ لله ولك الحق في الله كما لأيٍّ من عباده، فكن من الشاكرين يا قرة العين، وسل ربك سبحانه بحق أسمائه الحسنى وصفاته العُلى، وكفى بالله وكيلاً فلا تدعو مع الله احداً ولا تتوسل بأحدٍ فهو أرحم بك من أمك وأبيك ومن كافة عبيده أجمعين، وأحبك في الله، وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين.

    أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
    انتهى الاقتباس من الإمام ناصر محمد اليماني

    شكرا على الرد عزيزي في الله ناصر محمد، إني ألتزم في صلاتي أن أصلي على تراب الأرض ، و إن سجدت على تربة من تراب كربلاء فإني أفعل ذلك إلتزاما بأن أضع رأسي على الأرض أو ما ينبت من الأرض كالحصير و لا آسجد على السجاد استنادا الى الأحاديث المتواترة من محمد و آله؛ فما هو حكم السجود على السجاد؟ أعلم إنك اشترطت شروطا معينة في مسائل الصلاة، و ما أنا إلا عبد من عبيد الله و قريبك في السلالة و إني لأشم رائحة الطيب و الهدى في خطاباتك ، لا أريد أن أبايعك إلا بعد أن أستكمل قراءة بياناتك حتى أكون على بينة و يقين و قد استكملت بعون الله قراءة جميع ما ورد في بيان الصلاة و غيرها.

    أن سيرة النبي ( صلَّى الله عليه و آله ) كانت السجود على الأرض ـ التراب ـ أو ما ينبُت منه كالحصير ، و كان ( صلَّى الله عليه و آله ) يَحُثُّ الآخرين عليه ، كما أن سيرة المسلمين في عهد الرسول ( صلَّى الله عليه و آله ) كانت السجود على أرض المسجد المفروشة بالحصى ، و كان المسلمون يحرصون على السجود على حصى المسجد رغم شدة حرارتها مما يؤكد ضرورة السجود على الأرض .

    قال الإمام الباقر ( عليه السَّلام ) في جواب من سأله عن السجود على الزفت ـ يعني القير ـ : " لا و لا على الثوب الكرسف ، و لا على الصوف ، و لا على شيء من الحيوان ، و لا على الطعام ، و لا على شيء من ثمار الأرض ، و لا على شيء من الرياش.

    و سئل الإمام الصادق ( عليه السَّلام ) عن الصلاة على البساط و الشعر و الطنافس ، فقال : " لا تسجد عليه ، و إن قمت عليه و سجدت على الأرض فلا بأس ، و إن بسطت عليه الحصير و سجدت على الحصير فلا بأس. وسائل الشيعة : 3 / 592

    كان أحد الصحابة يسجد على كَوْرِ عمامته فأزاح النبي ( صلَّى الله عليه و آله )بيده عمامته عن جبهته. سنن البيهقي : 2 / 105
    أسأل الله أن ينير قلوبنا و أن يعجل فرج قائم آل محمد و أن يحميه من كيد الأعداء
    انتهى الاقتباس من عبدالله الباحث


    بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على جدّي محمد رسول الله ومن والاه واتّبع نهجه على بصيرةٍ من الله..
    ويا قرة العين إني أجد أمر الله في مكان السجود له في محكم الكتاب هو طهارة الشيء الذي سوف تسجد عليه من الأوساخ الظاهرة ما استطعت تصديقاً لقول الله تعالى:
    {وَإِذْ بَوَّأْنَا لِإِبْرَاهِيمَ مَكَانَ الْبَيْتِ أَن لَّا تُشْرِكْ بِي شَيْئًا وَطَهِّرْ بَيْتِيَ لِلطَّائِفِينَ وَالْقَائِمِينَ وَالرُّكَّعِ السُّجُودِ ﴿٢٦﴾} صدق الله العظيم [الحج].

    وإنما الطهارة من الأوساخ ليصبح نظيفاً، وكذلك تطهير الثياب من الأوساخ حين تشعر بأنها وَسِخَةُ المنظر أو الرائحةُ نجسةٌ تصديقاً لقول الله تعالى:
    {{وَثِيَابَكَ فَطَهِّرْ ﴿٤﴾}} صدق الله العظيم [المدثر]، إلا أن تكون على سفرٍ فما جعل الله عليكم في الدين من حرجٍ.

    والمهم أفضل السجود على شيءٍ طاهرٍ من الوساخة والرائحة النجسة المؤذية سواء يكون سجاداً أو عمامةً أو تراباً أو حصى، ودائماً الرائحة النجسة مؤذيةٌ شمّها، وحتى ولو لم تكن النجاسة ظاهرةً على مكان السجود بحاسة النظر فتكشف الرائحةَ النجسة حاسةُ الشمَّ.

    ونفتيك بالحقّ أنه يجوز لك أن تسجد لربّك على كل شيءٍ طاهرٍ من الوساخة والرائحة القذرة الْبيّنة أنها وَسِخةٌ بالنظر إليها، وإذا لم تتنبه إلا بعد السجود فشممت أنّ رائحة مكان السجود نجسةٌ فلا تقطع الصلاة، فهنا تضمّ كفيك إلى بعضهما حين سجود الجباه، وذلك حتى تسجد على ظهر يديك الطاهرة، وإياك أن تتعمد إظهار العمدة على الجبهة بقصدٍ وتعمدٍ منك فتدخل في شرك الرياء بالإشراك في الصلاة لربك، إنّ الشرك لظلمٌ عظيم.

    ولا تسجد على تراب أبتي الإمام الحسين عليه الصلاة والسلام مهما كان طاهرَ التراب بسبب تسميته بتراب الحسين فتلك بدعةٌ ما أمركم بها الله ورسوله، ولو كانت تراباً من غير تسمية فلا بأس بذلك، وأمّا وله اسم (تراب الحسين) فتسجد على ترابه فذلك شركٌ في سجود جبينك لربك يا قرّة العين، وحتى ولو كانت نيتك أنك تسجد على ترابٍ عاديٍّ فسوف تكون سبباً في شرك غيرك كونه يراك تسجد على تراب الحسين.

    وعلى كل حالٍ نسمح لك فقط في حالة الاضطرار تُقاة مكر الذين لا يؤمنون بالله إلا وهم مشركون به عباده المقربين تصديقاً لقول الله تعالى:
    {مَن كَفَرَ بِاللَّـهِ مِن بَعْدِ إِيمَانِهِ إِلَّا مَنْ أُكْرِهَ وَقَلْبُهُ مُطْمَئِنٌّ بِالْإِيمَانِ وَلَـٰكِن مَّن شَرَحَ بِالْكُفْرِ صَدْرًا فَعَلَيْهِمْ غَضَبٌ مِّنَ اللَّـهِ وَلَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ ﴿١٠٦﴾} صدق الله العظيم [النحل].

    وكن من الشاكرين، واكفر بشفاعة الأنبياءِ؛ الأنبياء جميعاً، واعلم أنّ الشفاعة لله جميعاً؛ تشفع لك رحمته من عذابه إن لم تكن مبلساً من رحمة الله أرحم الراحمين، واستغنِ برحمة من هو أرحم بك منهم جميعاً الله أرحم الراحمين، فتلك حجّتك على ربك لا إله غيره بأنّ الله أرحم الراحمين، فهل سوف ينكر الله سبحانه حجّتك عليه أنه أرحم الراحمين؟ فلا ينبغي أن يكون هناك في الوجود من هو أرحم من الله المعبود أرحم الراحمين أرحمَ بك من الأنبياء والأولياء والصالحين جميعاً وأرحمَ بك من أمّك وأبيك ومن الناس أجمعين، ولكن للأسف لا يؤمن أكثرُهم بالله إلا وهم مشركون به عبادَه المقربين، فاتّبعني أهدك صراطاً مستقيماً صراط ربي وربك الله العزيز الحميد تصديقاً لقول الله تعالى:
    {إِنَّ رَبِّي عَلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ ﴿٥٦﴾} صدق الله العظيم [هود].

    واقترب عذاب الله للمعرضين عن داعي الحقّ من ربّهم، فارتقبوا إني معكم رقيبٌ، وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..

    أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
    ____________

    [ لقراءة البيان من الموسوعة ]
    https://alyamani.me/showthread.php?t=35979

    اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..
    كُفيــتَ يا قلـــبُ بالنّعيـم تَقربــاً وما كانَ للقلب عن حبّه لَيحيدُ
    وَكلّما مالَت شغافُ القلبِ للدُّنيا كانَ الوريدُ إلى الحَبيب مُريدُ

المواضيع المتشابهه
  1. Amejibu Al'Imam Al'Mahdi Ju Ya Muslim Amazighi Na Fatwa Ya Haki Katika Kuslimu Wachawi Wa F
    بواسطة زينة الإسلام (فارسة الحق) في المنتدى Swahili
    مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 27-05-2020, 10:15 PM
  2. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 26-08-2018, 07:50 PM
  3. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 09-08-2018, 05:58 PM
  4. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 19-02-2018, 11:53 AM
  5. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 05-02-2018, 06:36 PM
ضوابط المشاركة
  • لا تستطيع إضافة مواضيع جديدة
  • لا تستطيع الرد على المواضيع
  • لا تستطيع إرفاق ملفات
  • لا تستطيع تعديل مشاركاتك
  •