Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
10 - شوال - 1441 هـ
02 - 06 - 2020 مـ
09:20 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://alyamani.me/showthread.php?p=330849
____

ردّ الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ على المفترين بإصابتهِ بكورونا ..
Amejibu Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Ju Ya Wazuliaji Kwa Kwamba imempata Corona ..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Muhammad Mtume Wa Allah Na Waumini Katika Kila Zama Na Pahali Mpaka Siku Ya Dini, Ama Baada Ya Hapo..

Wa alekom Asalam Warahmatu Allah Wa Barakatuhu Mpendwa Wangu Kwa Allah Ustadh Alfadhil ( Najib Ahmad Alhadad ) Mwenye Hishima, Taqbal Allah toba yako na Afweni Ya Allah ju yako na tumekubali maombezi yenu na Allah mbora wa kusamehe, Na Awasamehe Allah na wote waislamu wale ambao hawajuwi kua Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani yeye kweli ni Al'Imam Al'Mahdi Khalifa Wa Allah ju ya ulimwengu, Na nimemtaradhilia Allah kua Awaoneshe ukweli na Awaongoze nyoyo zao kuifwata na Awatimizie nuru yao na atulize nayo vifua vao; Kila ambae Allah Atajua kua wao wangejua haki kutoka kwa Mola Mlezi wao wangeifwata na wala hainge'wachukua utukufu kwa dhambi baada ilipo bainika kwao kua hi ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wao.


Na ewe mpendwa wangu kwa Allah, Hakika imenifikia uvumi wa upumbavu wa wazushi na uzuliaji wao ju ya virusi ya corona kua imempata Nasser Muhammad Al'Yamani katika uzuliaji wa wazushi waenezaji wanao zuwia nayo ni mbinu kutoka kwao! Eee Hakika Wallah Ambae Hapana Mola ispokua yeye lau itawapata kuwasibu binadamu wote vairusi ya corona basi Allah hangemgusa nayo Khalifa Wake ju ya ulimwengu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Basi kwa hayo kua ni katika mashahidi, Na Akinisibu Allah kwa adhabu ya virusi ya corona basi imebatilika aya ya kusadikisha ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Basi vipi itakua aya ya mauidha kwa wakanushaji wa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim kisha impate yule ambae anawalingania binadamu katika muda wa miyaka kumi na tano? Na imeanza adhabu ya ulimwengu kuzidi kuingia kiwango cha ju kwenda kwa kiwango zaidi yake, Basi vipi kua nimetangaza ile wanao ita virusi ya corona ni adhabu ya kiulimwengu ni katika adhabu ya chini pasi na adhabu ya ju huwenda wakarudi, Na nimetangaza kua nayo itawasibu ma taifa yote ya kiejemi na ki arabu kabla hawa'jatangaza Shirika la Afya Ulimwenguni katika tarifa yake rasmi kwa wiki hivi? Nikaweka point za changamoto kwa wanasayansi wa matabibu kua wao hawatoweza kujua chanzo cha virusi ya corona na hivo hivo hatukutangaza ni janga tu la kiulimwengu bali adhabu ya kiulimwengu katika aina za adhabu huwenda wao wakarudi.

Na hivo hivo nimewapa changamoto wanasayansi wa matabibu kwamba Ikiwa kweli wipe chanjo ama matibabu hata kama watakusanyika kwajili yake; Hata kama baadhi yao ju ya baadhi wenye kuinuana mngongo na kunusuriana, Na hivo hivo nimewatangazia wao kua hapana wala hawatoweza kuidhibiti ile wanao ita virusi ya corona, Na hivo hivo nimewatangazia kua watakuta kutokana na mbinu ya wanao ita virusi ya corona yale walikua hawaja hisabu inazidi ju ya matibabu ya kifiziki, Na wanatambua hilo wanasayansi wa matabibu wanao husika wale ambao wataona ajabu ya maajabu basi ndio watajua kua huyu ni askari aliofichika anaendeshwa kutoka kwa Mwenyewe Mwenye Hikma Mjuzi.

Na suwali ambalo lajiweka lenyewe; Kwa vile imepatikana kutimia changamoto ya Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani na inao kuja ni kubwa zaidi katika waki ya uhakika; Na swali ni: Basi amejua vipi Nasser Muhammad Al'Yamani kwa hayo, Je Nasser Muhammad Al'Yamani ni daktari Profesa kwa ulimwengu wa ma virusi? Na jibu: Mimi si Tabibu ewe mpendwa wangu kaa Allah, Lakini niko na ilimu ya kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim na najua kutoka kwa Allah yale amabo hawayajuwi kuhusu uhakika ya wanao ita virusi ya corona mawaidha ya adhabu ya vifua katika ilio Wazi maana yake ukumbusho, Na niko na ma aya zimefafanuliwa hatujazisema bado kuhusu jambo lake kwa usahihi kabisa katika muhakam ilio wazi maana yake kitabu cha Allah

Al'Quran Al3adhim Ambo Ameitremsha Allah Kwa Kujua kutoka kwake kwenye ilimu ya gheibu, Na najua hivo hivo itakuja karibuni sana mawaidha kubwa zaidi
( Kutoka kwa Mola Mlezi Wao ) Na hivo hivo katika mawaidha ya adhabu kuu, Na hivo hivo kugonjeka kwake kituoni inashika vifua na kwingineko na mbinu adhimu kutoka kwa Mola Mlezi Wa ulimwengu ina nguvu kali zaidi kwa madhalimu, Na karibu kuipa jina virusi ya watu wa anasa walio madhalimu katika watungaji waamuzi katika ulimwengu, Na baada yao ni wakanushaji wenye kiburi ju ya khalifa wa Allah mwenye kulingania haki kutoka kwa Moal Mlezi wao na wataenda kujua,
Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..

Ndugu Yenu: Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
______