Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
29 - شوال - 1444 هـ
19 - 05 - 2023 مـ
03:53 مساءً
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umul Qura)
(بحسب التقويم الرسميّ لأُمِّ القُرى)
_____
سُؤالٌ لِكُلِّ إنسانٍ عاقِل: فهل ذَكَر محمد بن سلمان حَرْب روسيا وأوكرانيا؟
Swali kwa kila mtu mwenye akili timamu: Je, Muhammad bin Salman alitaja vita vya Urusi na Ukraine?
Salam Allah Aleikum Wa Rahmatuhu Wa Barakatuhu..
Je, umegundua kwamba Mtukufu Prince Muhammad bin Salman alitaja vita vya Russia na Ukraine na kuwataka wasitishe vita vya Russia na Ukraine ili kudumisha amani ya mataifa hayo mawili na kujitahidi kupata upatanishi uliofanikiwa ili kusitisha vita kati ya Urusi na Ukraine? Bali, hakutaja vita vya Russia na Ukraine, hivyo Utungaji Wa fabrication hio ulifichuliwa, ingawa aliwakutanisha tu katika mkutano huu ili kuvunja changamoto ya kutaja vita vya Russia na Ukraine, lakini hotuba ya Muhammed bin Salman imekosekana utajo Wa Vita vya Urusi na Ukraine.
na ukweli umejitokeza; Hili ndilo waliloweza kukusanya kutokana na maneno yasiyo na kutaja vita vya Russia na Ukraine, na hawataweza kuvunja changamoto mpaka Muhammad bin Salman ataje vita vya Russia na Ukraine au atokee katika mkutano na waandishi wa habari, kwa sababu waandishi wa habari. Watamuuliza juu ya kujitahidi kusimamisha vita vya Urusi na Ukraine kwa hiyo ataje katika mazungumzo yake kama kalamu ya habari ikiandika kuwa anatafuta mafanikio Usuluhishi wa kusimamisha vita vya Urusi na Ukraine, kwa hiyo tunasubiri mkutano mwingine wa kilele?! Na je Muhammad bin Salman hazungumzi tena ispokua tu kwenye kilele ya mikutano wa uzushi Ku fabricate, na hakuweza tena kuonekana kama kawaida katika mahojiano mapya ya televisheni kwenye idhaa ya Saudia, kama kawaida yake, akitoa wito kwa Urusi na Ukraine kusimamisha vita vya Urusi na Ukraine ili kuokoa damu yao na kuhifadhi amani kwa mataifa hayo mawili, na kujitahidi, kama asemavyo katika habari iliyoandikwa, kwamba anatafuta mafanikio ya upatanishi ili kusimamisha vita Urusi na Ukraine? Basi mlikuta enyi wenye akili kwamba ameyataja haya? Kwa hakika usawa anatakiwa kuzungumzia kwa kirefu suala la vita vya Russia-Ukraine na haja ya kusitisha vita hivyo vya uharibifu kwa nchi hizo mbili, lakini tatizo lao ni kwamba walipata tu jina (Volodymyr Zelensky) na uadilifu wa eneo lake, ambalo linamaanisha. kwamba walipata tu maneno haya mawili kwenye video fulani, lakini hawajakamilika sana kutaja vita vya Urusi na Ukraine, na harakati za upatanishi uliofanikiwa kusimamisha vita vya Urusi na Ukraine, kama ilivyotajwa na wengine kwenye mkutano huo, na Zelensky masikini kwamba anatoa wito wa kusitisha vita vya Urusi dhidi ya Ukraine, lakini hotuba ya Muhammad bin Salman haina utajo Wa vita vya Urusi na Ukraine na kusimamisha vita.
Uzushi wa kufabricate huo ulishindikana katika Ufalme wa Saudi Arabia, na uzushi huo ukafedheheshwa na kufichuliwa kwa wenye akili, bila shaka.
Na je munajua kwamba asilani aliwaleta pamoja kwenye mkutano wa kilele wa Waarabu na akamkaribisha Zelensky ispokua tu kudai - wengine - kwamba Muhammad bin Salman alitaja kwa hakika vita vya Urusi na Ukraine na akatangaza juhudi zake za kusimamisha vita vya Urusi na Ukraine ili kukomesha. damu yao na amani kwa mataifa hayo mawili? Na tunathibitisha kuwa fabrication umeshindwa katika ufalme, na tunangojea hukumu ya Mwenyezi Mungu iliyo bora zaidi ya wanao amua.
Ala Wallah Hakika lau Mungu asingemuua Muhammad bin Salman ungemkuta kila wiki akitokea kwenye idhaa ya Saudia katika mahojiano mapya ya Tv, na sio kwamba tunamngoja mpaka tarehe ya kilele ifike! Hii sio tabia ya Muhammad, ambaye anapenda kuonekana. Ni ajabu iliyoje enyi watu wenye akili! Bali huu ni uthibitisho wa hakika wa uthibitisho wa kifo cha Mwanamfalme Muhammad bin Salman.Wale wenye ufahamu wanamwelewa, na hukumu ni ya Mwenyezi Mungu mbora wa wapangaji, na walipanga njama peke yao na kufichua uzushi unaorudiwarudiwa katika ufalme.
Na Wala hawakutimba ispokua kwa nafsi zao na kufadheheka uzushi wao Wa Ku fabricate ambao ilikariri kariri katika ufalme.
Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Ju Ya Ufalme Wa Ulimwengu Wote; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
خليفةُ الله على مَلَكوت العالَم بأسرِه؛
الإمام المَهديّ ناصِر مُحَمَّد اليمانيّ.
__
======== اقتباس =========
- 2 -
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
29 - شوال - 1444 هـ
19 - 05 - 2023 مـ
03:53 مساءً
(بحسب التقويم الرسميّ لأُمِّ القُرى)
[لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان]
https://alyamani.me/showthread.php?p=416692
_____________
سُؤالٌ لِكُلِّ إنسانٍ عاقِل: فهل ذَكَر محمد بن سلمان حَرْب روسيا وأوكرانيا؟
سَلام الله عَليكُم ورحمة الله وبركاته..
فهل وجدتم سمو الأمير محمد بن سلمان ذَكَر حَرْب روسيا وأوكرانيا وَدعوَتَهُم لِوَقْف حَرْب روسيا وأوكرانيا للحِفاظ على السّلم للدولتين والسَّعي لِنجاح الوسَاطة لتَوقيف الحَرْب بين روسيا وأوكرانيا؟ بل لم يَذكُر حَرْب روسيا وأوكرانيا فافتضحَت الفبرَكة رغم أنَّه ما جمعهم في هذه القِمّة إلَّا لِكَسْر التحدّي لذِكر حَرْب روسيا وأوكرانيا، ولَكِن خِطاب محمد بن سلمان خالي عن ذِكْر حرب روسيا وأوكرانيا.
وحَصحَص الحَقّ؛ فهذا ما استطاعوا على جَمعِه مِن الكَلِمات خاليةً عن ذِكْر حَرْب روسيا وأوكرانيا، ولن يستطيعوا كَسْر التحدّي حتى يذكُر محمد بن سلمان حرب روسيا وأوكرانيا أو الظهور في مؤتمرٍ صحفيٍّ، كون الصحفيين سوف يسألونه عن السَّعي لتوقيف حَرْب روسيا وأوكرانيا فيتكلََّم كَما يخُطّه قَلَم الأخبار بأنه يَسعى لِنجاح الوساطة لتوقيف حَرْب روسيا وأوكرانيا، فهل ننتظر إلى قِمَّةٍ أُخرى؟! فهل صار محمد سلمان لا ينطق إلَّا في قِمَةٍ مُفبرَكةٍ ولم يَعُد يستطيع الظهور كعادته في لقاءٍ تلفزيونيٍّ جديدٍ على قناة السعوديَّة كعادته ويدعو روسيا وأوكرانيا إلى توقيف حَرْب روسيا وأوكرانيا لِحَقْن دمائهم والحِفاظ على السّلم للدولتين والسَّعي كما يقول في الأخبار المَكتوبة أنه يسعى إلى نجاح الوساطة لتوقيف حَرْب روسيا وأوكرانيا؟ فهل وجدتم يا أولي الألباب أنَّه ذَكَر هذا؟! ومِن المفروض أن يتكَلَّم بِكلامٍ مُستَفيضٍ في قَضية حَرْب روسيا وأوكرانيا ولِوجوب توقيف هذه الحرب الطاحِنة للبلدين، ولَكِن مشكلتهم أنهم لم يجدوا إلا اسم (فولوديمير زيلينسكي) وسلامة أراضيه، فهذا يعني أنَّهم لَم يجدوا غير هاتين الكلمتين في فيديو ما ولكنها مَنقوصة للغاية عن ذِكر حَرْب روسيا وأوكرانيا والسَّعي لنَجاح الوساطة لتوقيف حرب روسيا وأوكرانيا كَما ذكرها الآخرون في القِمَّة، ومِسكينًا زيلينسكي أنه يدعو إلى توقيف حَرْب روسيا على أوكرانيا ولَكِن كلمة محمد بن سلمان خاليةٌ عن ذِكْر حَرْب روسيا وأوكرانيا وتَوقيف الحرب.
وفَشلت الفَبرَكة في المَملكة العَرَبيَّة السُّعوديَّة، وافتضحَت الفَبركة لِأُولي الألباب لا شَكّ ولا رَيب.
وهل تَعلَمون أنَّه أصلًا ما جمعهم في القِمَّة العربية وقام بدعوة زيلينسكي إلَّا ليزعموا - الآخرون - أنَّ محمد بن سلمان حَتمًا ذَكَر حَرْب روسيا وأوكرانيا وأعلن سعيه لتوقيف حرب روسيا وأوكرانيا لِحَقْن دمائهم وسلم الدولتين؟ ونُؤكِّد أنَّها فَشلت الفبركة في المَملكة ومُنتَظرين لِحُكْم الله خير الفاصلين.
ألا والله لو لم يصرع الله محمد بن سلمان لوجدتموه يظهَر في كُلِّ أسبوعٍ في قناة السعوديّة في لقاءٍ تلفزيونيٍّ جَديدٍ وليس أنَّنا ننتظره حتى يأتي مَوعِد قِمَّةٍ! فليس هذا من عادة محمد الذي يحب الظهور. فيا للعجَب يا أولي الألباب! بل هذا بُرهانٌ قَطعيّ الدَّلالة على تأكيد مَصرع الأمير محمد بن سلمان يُدرِكه أولو الألباب، والحُكم لله خَير الماكرين، وما مَكَروا إلَّا بأنفسهم وفَضَحوا الفَبرَكة المُتَكرِّرة في المَملَكة.
وسَلامٌ على المُرسَلين والحمدُ لله رَبِّ العالَمين..
خليفةُ الله على مَلَكوت العالَم بأسرِه؛ الإمام المَهديّ ناصِر مُحَمَّد اليمانيّ.
___________
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..